Categories
Whatsapp Chat

Exclusive: Whatsapp Chat na ‘Angel’ mzazi mwenzie Kijukuu.

Siku ya Jumatatu, Novemba 6 katika mitandao ya kijamii kulikuwa na tafrani kubwa baada ya msanii anayeunda kundi la Marafiki Bongo kuachia wimbo unaoitwa ‘Nitalea’ ameimba peke yake, ambapo katika wimbo huo umezungumzia kuhusiana na kutokuwa na maelewano mazuri na mzazi mwezie Angel.

angel

Kesi hiyo ilikuja baada ya mtoto aliezaliwa miezi saba iliyopita anaitwa ‘Jonathan’ ambapo katika wimbo huo umemzungumzia sana Angel juu ya mahusiano waliyokuwa nayo wawili hao hadi kuachana kwao.

Fuatilia mazungumzo ambayo mwandishi wetu ‘waziri wa debe’ akizungumza na mama mzazi wa mtoto Jonathan, Angel Amos.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.