DJ Choka Kayajibu Haya Baada ya Kuchanwa na Nay wa Mitego kwenye Nyimbo yake Mpya

0

Ni muda Mfupi tu Umepita Tangu Nay wa Mitego Aachie Hit Song Yake Mpya Shika Adabu yako. kwenye headlines sasa Hivi Ni Watu Waliochanwa kwenye Nyimbo Hiyo. nimeyapata Majibu ya Dj Choka Kutoka Instagram Nimeona Sio mbaya nikusogeze hapa na wewe mwanafamilia wa Zenji255 usipitwe na hii !!