‘Diamond kwangu mimi ni kama mdogo wake kwa Zanzibar’ – Smile

0

Msanii wa muziki wa kizazi kutoka Zanzibar Smile ‘The genious’ amefunguka kuhusiana na mahusiano yake na Diamond Platnumz baada ya kuonekana kupost picha akiwa katika studio za WASAFI huko Dar.smile2

Akizungumza na Zenji255 Smile alisema kuwa “Connection ya mimi na Diamond iliianza tokea miaka minne iliyopita sio leo na tokea kipindi hicho mimi nilikuwa nahitajika niende nikafanye kazi na Diamond au katika studio za Wasafi.”

“Vitu vingi ambavyo nimevipata kupitia Wasafi na sehemu nyingine kwahiyo naomba watu wakae sasa kwa ajili ya biashara kwani muziki wa Zanzibar unakwenda kwenye mabadiliko makubwa sana.” Aliongezea Smile

Imetayarisha na: Mwinyi (Mkali Nesta)