Chelsea yamuongezea John Terry mkataba wa mwaka mmoja

0

Captain wa klabu ya Chelsea John Terry amepewa mkataba mpya na klabu hiyo wa mwaka mmoja. Terry, 35, anamaliza mkataba wake january mwakani na akasema baada ya hapo hataendelea tena kukaa Chelsea.

terry

Msemaji wa Terry anasema “haya ni maamuzi magumu kwa John Terry na familia yake na wanafikiria kwanza”

Chelsea itasimamiwa msimu ujao na boss mpya ambaye ni Antonio Conte anayechukua mikoba ya Guus Hiddink, aliyechukua nafasi ya Jose Mourinho.