28.1 C
Zanzibar
Friday, April 26, 2019
ndege

Hii hapa ni ‘top ten’ ya viwanja vya ndege duniani vyenye mitazamo ya kuvutia...

Kampuni binafsi ya kimataifa ya PrivateFly ambayo inayohusika na kukodisha ndege za Jet duniani, imetoa orodha ya viwanja vya ndege kumi bora duniani kwa...

(+Video): Malkia Elizabeth afanya matembezi Uingereza kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa

Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzaliwa.Malkia atasheherekea siku hii kwa kukutana na wananchi wake katika matembezi atayafanya huko Windsor. Malkia Elizabeth ametawala kwa muda...
bi kidude

Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA Katika wikiendi yako hapa Zanzibar… (+VideoTrailer: I...

Siku ya Aprili 17 itakuwa ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha mwimbaji maarufu, Bi Kidude, ambapo siku hiyo katika ukumbi wa Zancinema, Wazanzibari...

Huu ni wito kwa wasanii kutoka kwa Sauti za Busara

Je muziki wako unahusiana na Afrika, au nchi za bahari ya hindi? Je muziki wako ni wa laivu?  Je umevutiwa kupiga muziki mwezi ujao wa Februari...
Selfie

Wale mnaopenda kupiga picha za ‘Selfie’. Jihadhari kupiga ‘Selfie’ na Bastola.

 Inawezekana tukawa tunafurahia vitu vingi sana katika maisha yetu ikiwemo ukuwaji wa teknolojia na hizi simu zinazorahisisha mambo, ila kwa upande mwingine maisha yetu...
mtandaoni

Mtandaoni: Mchungaji atoa maombi akiwa juu ya waumini wake (Picha)

Kutoka mtandaoni hivi karibuni ilivuma stori ya mchungaji hapa Tanzania, ambaye akifanya maombi akiwa juu ya migongo ya waumini au amebebwa huku akiendelea kutoa...
ziff

Tamasha la ZIFF limetoa maombi ya kushiriki

Tamasha la nchi la Majahazi ZIFF ni tamasha kubwa la filamu, Muziki na Sanaa hapa Afrika Mashariki ambalo hukusanya watu mbalimbali kutoka katika pamde...

Kanye West na Wiz Khalifa wamaliza ugomvi wao

Kila kitu sasa kimesuluhishwa kati ya Kanye West na Wiz Khalifa. Ni baada Kanye kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa: https://twitter.com/kanyewest/status/694620226743238656 Beef hiyo ilimalizika baada ya...
kanye west

Kanye west ‘Sitozungumzia tena kuhusu watoto’

Kanye West ameomba radhi kwa Amber Rose naWiz Khalifa baada ya kumuongelea vibaya mtoto wao Sebastian kwenye twitter yake hivi karibuni. Kanye hakuomba msamaha wa...
Rekodi

Avunja rekodi kwa kukaa masaa 121 akiangalia filam

Johannesburg: Raia mmoja wa Canada anaeishi South Africa amepata umaarufu mkubwa baada ya kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa hapo mwanzo kwa kukaa masaa 120 na...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
424SubscribersSubscribe
Advertisement