28.1 C
Zanzibar
Friday, April 26, 2019
wachina

Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa

Watu watano wakiwemo raia wawili wa China na Watanzania watatu wamekamatwa Mtwara kwa kutuhumiwa kubadili tarehe zilizokwisha muda wa matumizi kwenye dawa za kilimo...
didas

Aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dk. Didas Masaburi afariki Dunia

Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi amefikwa na umauti jana majira ya saa tatu na nusu usiku katika...
simba

Simba Motors kutengeneza gari la kwanza Tanzania, Desemba 2016

Kampuni ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30,...
india

Msichana afariki kwa kufunga kwa hiari siku 68 India

Polisi nchini India wanachunguza wazazi wa msichana mwenye umri wa miaka 13 aliyefariki wiki iliyopita baada ya kufunga kwa siku 68 kama ibada. Polisi kusini...
scorpion

Majibu ya Daktari: Kijana Said Ally Aliyetobolewa Macho Na ‘Scorpion’ Hawezi Kuona Tena

Majonzi na vilio vilitawala ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati Kijna Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho...
mitindo

Tamasha la mitindo la hisani kufanyika Zanzibar

Tamasha la mitindo la Plus Size Fashion litafanyika Jumamosi hii visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuchangia saratani ya matiti (Breast Cancer Zanzibar). Tamasha hilo limeandaliwa...
Scorpion

Scorpion ‘Mtoboa macho’ Apandishwa Kizimbani

Mkazi  wa Machimbo Yombo jijini Dar es Salaam, Salum Njwele (34) maarufu kama Scorpion, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashitaka ya...
mtoto

Mtoto azaliwa kutoka kwa mbegu za watu watatu

Mtoto wa kwanza aliyetengezwa kwa kutumia mbinu ya uzazi wa mbegu za watu watatu amezaliwa, jarida la kisayansi la New Scientist limetangaza. Mtoto huyo wa...
tanzania

Mfahamu mzee Laiboni ana watoto 70 na wajukuu 300 Tanzania

Nchini Tanzania katika mkoa wa Arusha wilayani Monduli, mzee mwenye zaidi ya miaka 100 ana watoto zaidi ya 70 na wajukuu 300. Mzee Meshuko Ole...
tupac

Video: Baada ya Dr. Dre, Ice Cube na B.I.G kutoa filamu zao hii hapa...

Ni miaka 20 tangu Tupac Shakur afariki dunia Septemba 13, 1996 kwa kupigwa risasa, trailer ya pili la filamu ya ‘All Eyez On Me’...
india

Wabakwa kwa kula nyama ya ng’ombe India

Mwanamke mmoja nchini India amesema kuwa yeye pamoja na binamuye wa umri wa miaka 14 walibakwa na genge la watu na jamaa wengine wawili...
sauti za busara

‘Tamasha la Sauti za Busara linakuja kivingine’ – DJ Yusuf

Joto la Sauti za Busara linazidi kupanda baada ya kutangazwa kurudi tena kwa tamasha hilo bora kabisa barani Afrika litakaloanza tarehe 9 – 12...
zuckerbag

Mark Zuckerberg ala ugali Kenya

Mwanzilishi wa kampuni ya facebook Mark Zuckerberg amezuru nchini Kenya katika ziara yake ya mataifa ya bara Afrika. Zuckerberg aliyewasili siku ya Jumatano kutoka nchini...
makunduchi

Picha: Tamasha la vyakula vya asili lililofanyika Makunduchi

Wananchi katika kijiji cha Makunduchi kilichokuwepo Kusini mwa kisiwa cha Unguja hapo juzi walifanya tamasha la vyakula vya asili ambalo lilipambwa na aina mbali...
polisi

Jeshi la Polisi Zanzibar kupambana na wanaotumia kazi za wasanii bila ya hakimiliki

Jeshi la Polisi Zanzibar  limedhamiria kupambana na uharamia wa kazi za hakimiliki kwa kudhibiti maeneo ya uingizaji hakimiliki haramu katika maeneo ya bandarini na...
visu

Mwanaume ameza visu 40 kwa muda wa miezi mitatu India

Madaktari katika mji wa Amritsar kaskazini mwa India wamesema, wametoa visu 40 kutoka kwa tumbo la mwanamume mmoja. Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 42...
sayari

Picha: Sayari mpya inayofanana na dunia yagunduliwa na wanasayansi

Wanasayansi wamegundua sayari inayokaribiana sana na dunia kwa mazingira na ukubwa ambayo inaizunguka nyota ya Proxima Centauri inayokaribiana zaidi na mfumo wetu wa jua. Sayari...

Video: Je Unataka kuwa kama Diamond? Basi fuata maelekezo haya kutoka kwa Eric Omondi

Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake...

Picha: Harakati katika Mitaa ya Zanzibar

Katika pirika pirika za mitaa ya Zanziba, Zenji255 ilipita maeneno mbali mbali ya hapa kisiwani na kujionea harakati tofauti za wananchi zikifanyika. Jionee na wewe Samaki...
chipsi

Polisi wachunguzwa kwa kula chipsi bila kulipa

Polisi Mkoa wa Shinyanga inafanya uchunguzi wa madai ya askari wake kula chipsi na kukataa kulipa kisha kuanzisha fujo baada ya kudaiwa fedha. Askari hao...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
424SubscribersSubscribe
Advertisement