29.5 C
Zanzibar
Thursday, April 25, 2019

Picha: ZANTEL yatoa msaada wa vifaa kwa wakulima wa Mwani

Kampuni ya simu ya Zantel imetoa msaada wa vifaa kwa wakulima wa mwani visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiendeleza katika uvuvi huo wa mwani. Hafla...
zantel

Picha: Wafanyakazi wa ZANTEL washiriki kufanya usafi Mji Mkongwe na kugawa salio kwa wateja...

Wafanyakazi wa kampuni ya simu Zantel hapa Zanzibar wameshiriki katika kufanya usafi katika mitaa ya mji mkongwe jana Disemba 17. Awali kabla ya kuingia kwenye...
facebook

Facebook kuwafungia wenye akaunti feki

Mtandao wa Facebook umesema umeanzisha upelelezi kukabiliana na akaunti feki za watumiaji. Tiyari umeshaanza kutumia wafanyakazi kutoka nje ya kampuni hiyo watakaoweza kugundua kompyuta zinazotumika...
talaka

Mahakama India yapiga marufuku talaka tatu

Mahakama moja kaskazini mwa India, imefutilia mbali utaratibu wa dini ya kiislamu wa talaka tatu ambao unampa nafasi mwanamume wa kiislam kumuacha mkewe kwa...
jiwe

Jiwe lenye amri 10 za mungu lauzwa dola 850,000 Marekani

Jiwe la kale zaidi lenye amri kumi za Mungu limeuzwa kwenye mnada nchini Marekani kwa dola 850,000. Jiwe hilo ambalo lina urefu wa sentimita 60...
matibabu

Akosa matibabu baada ya urefu wake kuzidi mashine na vitanda

Kijana Baraka Elias Mashauri mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa Musoma mkoani Mara ameshindwa kupata matibabu katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana...
hitler

Nguo ya ndani ya mke wa Hitler yauzwa laki 8 kwenye mnada

Nguo ya ndani ya mke wa Adolf Hitler Eva Braun imeuzwa katika mnada kwa pauni 3000. Suruali hiyo ikiwa ni miongoni mwa vitu vyengine vya...
samwel sitta

Maneno 3 ya mwisho kusema Marehemu Samwel Sitta Baada ya kuelezwa hatoweza kupona

Kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2005-2010), Samuel Sitta, mwanae wa kiume ameweka wazi maneno matatu ya...
busara

‘Hatuna upendeleo kwa wasanii bali tunaangalia vigezo’ – Busara Promotion

Taasisi ya Busara Promotion inayoandaa tamasha la Sauti za Busara visiwani Zanzibar imeeleza kuwa haikufanya upendeleo katika kuchagua wasanii na vikundi vya sanaa vitakavyoshiriki...
samwel sitta

Breaking News: Samwel Sitta Amefariki dunia

Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Taarifa  za  kifo chake zimethibitishwa na Mwanae Benjamin...
nyoka

Ukiipata sumu ya nyoka huyu, ni dawa tosha ya kupunguza machungu!

Nyoka mwenye sumu kali zaidi duniani huenda akawa jibu la kupatikana dawa ya kupunguza uchungu. Hii ni kwa mujibu ya wanasayansi. Nyoka anayejulikana kama 'Blue...
selfie

Selfie yamponza binti kwa faini $2,000 baada ya kuligonga gari la polisi

Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu nchini Marekani aligongesha gari lake kwa lile la polisi, wakati akijipiga picha za selfie huku akiendesha gari. Miranda Rader mwenye...
sauti za busara

Tamasha la Sauti za Busara 2017 yatoa orodha ya watakaotumbuiza, Rico Single Akiwemo

Baada ya kupumzika mwaka huu, tamasha la Sauti za Busara, linarejea tena mwakani. Na sasa orodha ya wasanii watakaotumbuza imetoka. Miongoni mwao vikiwemo vikundi...
dunia

Mvumbuzi wa nepi za kutupwa afariki dunia akiwa na miaka 94

Valerie Hunter Gordon, mama wa watoto sita aliyevumbua nepi za kutumiwa na kutupwa ameaga dunia nyumbani kwake karibu na Inverness akiwa na umri wa...
duniani

10 bora ya mataifa yenye wanafunzi werevu duniani

Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa jumla, ni mataifa gani yenye wanafunzi walio bora zaidi? Jambo...
Scorpion

‘Scorpion’ afunguliwa mashtaka upya

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemfungulia mashtaka mapya Salum Njwete (Scorpion).Amefunguliwa mashtaka mengine yanayofanana na ya awali ya unyang’anyanyi wa kutumia silaha. Hata hivyo Njwete...
panya road

‘Panya Road’ azimia baada ya kupewa kipigo kizito azinduka akiwa mochwari

Mtoto Isack Ernest (16) anayetuhumiwa kuwa ni mhalifu, maarufu Panya Road, amezinduka akiwa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) katika Hospitali ya Temeke, Dar es...
damu

Picha: Matembezi ya Hisani ya kuchangia damu salama yaliyofanyika Kisonge Zanzibar

Shirika la UNICEF likishirikiana na msalaba mwekundu walifanya matembezi ya hisani kwa ajili ya kuchangia damu salama.
bomu

Jambazi ajeruhi askari na raia wanne kwa bomu Kigoma

Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi kwenye Kijiji cha Uvinza mkoani Kigoma. Kamanda wa...
samsung

TCRA Yapiga Marufuku Uuzwaji wa Samsung Galaxy note 7 Hapa Nchini

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
423SubscribersSubscribe
Advertisement