28.1 C
Zanzibar
Friday, April 26, 2019
simu

Mke apigwa faini kwa kufungua simu ya mumewe

Mwanamke mmoja katika muungano wa milki za kiarabu amepigwa faini na kurudishwa kwao baada ya kupatikana akiingia katika faragha ya mumewe. Vyombo vya habari...
rais

(Ni Vijimambo tu): Rais Joseph Kabila Amfukuza Kazi Naibu Waziri wa Mawasiliano wa...

Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano Mhe.Enock Ruberangabo kutokana na kusambaa kwa video inayomuonesha...
chipsi

Polisi wachunguzwa kwa kula chipsi bila kulipa

Polisi Mkoa wa Shinyanga inafanya uchunguzi wa madai ya askari wake kula chipsi na kukataa kulipa kisha kuanzisha fujo baada ya kudaiwa fedha. Askari hao...
tcra

‘Wenye Akaunti feki Mitandaoni Kukiona’ – TCRA

MAMLAKA ya Udhibiti wa Mawasiliano hapa Nchini (TCRA) imewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaojisajili katika mitandao hiyo kwa kutumia majina na taarifa za...
darajani

Picha: Bomoa Bomoa Katika maduka ya makontena maeneo ya Darajani Zanzibar

Katika harakati za mitaani Zenji255 ilipita katika mitaa ya Darajani ambapo iliwakuta wafanyabiashara waliokuwa wakiuza maduka ya makontena, wakibomoa maduka baada ya agizo la...
ubongo

Atiwa mbaroni kwa kumuua mwenzake na kuula ubongo na sehemu zake za siri

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linamshikilia mchimba dhahabu, Shija Salum (38), mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumuua rafiki yake na...
miaka 70

Mzee wa miaka 70 ajipeleka jela makusudi ili kumtoroka mkewe

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 70 kutoka eneo la Kansas nchini Marekani amekiri kushiriki katika wizi wa benki siku ya Jumanne akisema alifanya...
boflo

#TBT: Unakumbuka Kipindi mkate wa boflo ulivyokuwa dili?

Katika pekua pekua yangu ya kujikumbushia siku ya leo ikiwa ni Throw Back Thursday nilikutana na picha ambayo nilishangaa na kufurahi baada ya kuiona...
scorpion

Majibu ya Daktari: Kijana Said Ally Aliyetobolewa Macho Na ‘Scorpion’ Hawezi Kuona Tena

Majonzi na vilio vilitawala ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati Kijna Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho...
ziff

Tamasha la ZIFF limetoa maombi ya kushiriki

Tamasha la nchi la Majahazi ZIFF ni tamasha kubwa la filamu, Muziki na Sanaa hapa Afrika Mashariki ambalo hukusanya watu mbalimbali kutoka katika pamde...
music

Our Contributor: Active music institutions and organizations in Tanzania

By Mandolin Kahindi The music industry in Tanzania has experienced many changes in the past 10 years, with influences from other countries impacting on local...
hip hop

Hii hapa ni 5 bora ya wana Hip Hop wenye mkwanja mkubwa Marekani

Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi. Ambapo katika orodha hiyo P. Diddy akiwa ameshikilia nafasi ya...
sauti za busara

Ubalozi wa Uswiss watoa mchango wa Mil. 260 kwa tamasha la Sauti za Busara

Ubalozi wa Uswiss nchini umechangia zaidi ya shilingi milioni 260 ili kuwezesha Tamasha la Muziki la Sauti za Busara Zanzibar kwa miaka mitatu ijayo....
Scorpion

‘Scorpion’ afunguliwa mashtaka upya

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemfungulia mashtaka mapya Salum Njwete (Scorpion).Amefunguliwa mashtaka mengine yanayofanana na ya awali ya unyang’anyanyi wa kutumia silaha. Hata hivyo Njwete...
kidato

Haya hapa ni matokeo ya Kidato cha Pili

Baada ya siku kadhaa Baraza la mitihani NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne (FORM IV) nayo Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar...
eid

Picha: Pirika Pirika za sikukuu ya Eid katika mitaa ya Unguja

Baada ya mfungo wa siku 30 wa Ramadhan, waislamu mbali mbali duniani husherehekea sikukuu ya Eid kwa njia tofauti ambapo kwa visiwa vya Unguja...

Huu ni wito kwa wasanii kutoka kwa Sauti za Busara

Je muziki wako unahusiana na Afrika, au nchi za bahari ya hindi? Je muziki wako ni wa laivu?  Je umevutiwa kupiga muziki mwezi ujao wa Februari...

Cheka kidogo kuongeza siku yako ya leo na chizi chabo

Wala chabo wengi duniani huwa wakisikia sauti tamu tamu zitokazo ndani ya nyumba huwa wanapata tabu na kutaka kujua nini kinaendelea kutokana na sauti...
soko

Picha: Harakati za mwezi wa Ramadhani katika soko kuu la Mwanakwereke, Zanzibar

Wakati tukiwa katika kumi la mwanzo la mwezi mtukufu wa Ramadhani, wananchi huwa katika pirika pirika za kutafuta mahitaji yao ya vyakula kwa ajili...
Scorpion

Scorpion ‘Mtoboa macho’ Apandishwa Kizimbani

Mkazi  wa Machimbo Yombo jijini Dar es Salaam, Salum Njwele (34) maarufu kama Scorpion, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashitaka ya...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
424SubscribersSubscribe
Advertisement