29.5 C
Zanzibar
Thursday, April 25, 2019
simu feki

Watumiaji simu feki wapungua Kutoka asilimia 30 hadi 13 – TCRA

Kadri siku ya kuzima simu feki kote nchini inavyokaribia imebainika kuwa wanaozitumia wanazidi kupungua nchini. Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Mawasiliano...
sayari

Picha: Sayari mpya inayofanana na dunia yagunduliwa na wanasayansi

Wanasayansi wamegundua sayari inayokaribiana sana na dunia kwa mazingira na ukubwa ambayo inaizunguka nyota ya Proxima Centauri inayokaribiana zaidi na mfumo wetu wa jua. Sayari...
jiwe

Jiwe lenye amri 10 za mungu lauzwa dola 850,000 Marekani

Jiwe la kale zaidi lenye amri kumi za Mungu limeuzwa kwenye mnada nchini Marekani kwa dola 850,000. Jiwe hilo ambalo lina urefu wa sentimita 60...
Rekodi

Avunja rekodi kwa kukaa masaa 121 akiangalia filam

Johannesburg: Raia mmoja wa Canada anaeishi South Africa amepata umaarufu mkubwa baada ya kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa hapo mwanzo kwa kukaa masaa 120 na...
tanzania

Unaijua sababu ya Tanzania, Afrika Kusini na Zambia kutumia wimbo wa Taifa wenye Melody...

Huenda ukawa umejiuliza swali hili kwa kipindi kirefu lakini hujawahi kupata jibu. Kwanini Tanzania, Afrika Kusini na Zambia zinatumia wimbo wa taifa wenye melody...
mitindo

Tamasha la mitindo la hisani kufanyika Zanzibar

Tamasha la mitindo la Plus Size Fashion litafanyika Jumamosi hii visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuchangia saratani ya matiti (Breast Cancer Zanzibar). Tamasha hilo limeandaliwa...
watu 14

Watu 14 wafukiwa mgodini Geita

Watu 14 akiwemo raia wa china, wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa katika mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata...
kunguni

Mambo na vijimambo: Unajua kunguni huwa wanapenda rangi gani?

Watafiti nchini Marekani wanasema wamegundua kunguni hupenga baadhi ya rangi kushinda rangi nyingine. Watafiti hao, baada ya kufanya uchunguzi wa kina, wanasema kunguni hupenda...
world

Beyonce’s ‘Formation World Tour’ Earns $210 Million in Ticket Sales

Beyoncé clearly knows how to get the world in “Formation.” She’s done such a great job at that, in fact, that her “Formation World...
duniani

10 bora ya mataifa yenye wanafunzi werevu duniani

Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa jumla, ni mataifa gani yenye wanafunzi walio bora zaidi? Jambo...
pirika

Picha: Pirika pirika za maandalizi ya futari soko la Darajani

Ikiwa ni siku ya 7 katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Mpiga picha katika pita pita zake aliona pirika pirika za wananchi wa Zanzibar wakiwa...
msichana

Msichana asiye na mikono ashinda tuzo ya muandiko bora

Msichana wa miaka saba aliyezaliwa bila mikono ameshinda shindano la muandiko mzuri nchini Marekani. Anaya Ellick kutoka Chesapeake,Virginia hatumii viungo vya kumsaidia wakati anapoandika. Wakati...
visu

Mwanaume ameza visu 40 kwa muda wa miezi mitatu India

Madaktari katika mji wa Amritsar kaskazini mwa India wamesema, wametoa visu 40 kutoka kwa tumbo la mwanamume mmoja. Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 42...
talaka

Mahakama India yapiga marufuku talaka tatu

Mahakama moja kaskazini mwa India, imefutilia mbali utaratibu wa dini ya kiislamu wa talaka tatu ambao unampa nafasi mwanamume wa kiislam kumuacha mkewe kwa...
kanye west

Kanye west ‘Sitozungumzia tena kuhusu watoto’

Kanye West ameomba radhi kwa Amber Rose naWiz Khalifa baada ya kumuongelea vibaya mtoto wao Sebastian kwenye twitter yake hivi karibuni. Kanye hakuomba msamaha wa...

Fainali ya ‘Insha Competition 2016’ kufanyika leo Juni 5

Jumla ya wanafunzi 20 waliongia katika hatua ya 20 bora wanatarajiwa kushirikii katika shindano la Insha competition lililo andaliwa na The voice of the...
scorpion

Majibu ya Daktari: Kijana Said Ally Aliyetobolewa Macho Na ‘Scorpion’ Hawezi Kuona Tena

Majonzi na vilio vilitawala ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati Kijna Said Mrisho anayedaiwa kujeruhiwa na kutobolewa macho...
miaka 70

Mzee wa miaka 70 ajipeleka jela makusudi ili kumtoroka mkewe

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 70 kutoka eneo la Kansas nchini Marekani amekiri kushiriki katika wizi wa benki siku ya Jumanne akisema alifanya...
cinema

Ukiniuliza ni filamu gani ya kuitazama ‘CINEMA’ Katika wikiendi yako hapa Zanzibar… Angalia na...

Kwa wale watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Zanzibar movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake zipo...
jumbe

Rais wa awamu ya pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia

Aliyekuwa rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kati ya mwaka 1972 hadi 1984, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo 14 August 2016...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
423SubscribersSubscribe
Advertisement