24.5 C
Zanzibar
Tuesday, August 20, 2019

KESI YA KUVULIWA UBUNGE LISSU ITAANZA KUSIKILIZWA KESHO

Kesi ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, inatarajiwa kuanza kusikilizwa kesho. Hati ya kuwaita pande mbili...

Meli ya Mt. Mkombozi II yawasili Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ahadi aliyoitowa kwa wananachi wa Zanzibar kununua meli mpya...

Barrack Obama akosoa viongozi wenye kutoa kauli za kibaguzi na chuki

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amewataka Wamarekani kukataa lugha za chuki na kibaguzi kutoka kwa viongozi wao. Obama amekuwa akiongea kwa nadra tangu...

Balozi Seif Ali Iddi amesema elimu itolewe kwa viongozi wachanga

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Viongozi wakuu wanajukumu la kuwaelimisha viongozi wachanga juu dhana halisi ya uwezo...

Nchi za Jumuiya ya SADC, zimeobwa kupeana fursa wenyewe kwa wenyewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amezitaka nchi za Jumuiya ya SADC, kupeana fursa wenyewe kwa wenyewe hasa linapofikia...

Mwandishi habari Tanzania Erick Kabendera amepandishwa kizimbani

Mwandishi habari Tanzania Erick Kabendera amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka mapya matatu ya ubadhirifu wa kiuchumi . Katika mashtaka hayo Kabendera anatuhumiwa na kujihusisha na genge...

WAZIRI WA ARDHI TANZANIA ATOA ONYO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, leo Agosti 3, amemrejeshea kiwanja Brigedia Mstaafu Fransis Mbenna, kilichopo Mbezi Beach DSM alichodhulumiwa...

Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu imeshauriwa kufanya kazi kwa kufuata sheria

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar na Riziki Pembe Juma ameitaka bodi mpya ya Ushauri ya Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu,...

vifo vya wanawake na watoto vimepungua ukilinganisha na udhalilishaji

Imeelezwa idadi ya vifo vya mama na mtoto vimeweza kupunguwa ukilinganisha na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto unaendelea kuwepo...
eid

Picha: Pirika Pirika za sikukuu ya Eid katika mitaa ya Unguja

Baada ya mfungo wa siku 30 wa Ramadhan, waislamu mbali mbali duniani husherehekea sikukuu ya Eid kwa njia tofauti ambapo kwa visiwa vya Unguja...
yanga

Ali Yanga, Shabiki namba moja wa Yanga afariki dunia

Moja kati Mwanachama aliejizoelea umaarufu mkubwa ndani ya klabu ya soka ya Yanga SC  na nchini kwa ujumla aliyefahamika kwa jina maarufu kama Ali...
pirika

Picha: Pirika pirika za maandalizi ya futari soko la Darajani

Ikiwa ni siku ya 7 katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Mpiga picha katika pita pita zake aliona pirika pirika za wananchi wa Zanzibar wakiwa...
ramadhani

Fahamu: Mambo 5 katika mfungo wa Mwezi wa Ramadhani unapokuwa Zanzibar

Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi muhimu sana katika mwaka kwa waislamu ndani ya Zanzibar na duniani kote. Kipindi hiki cha mwezi huu hutokana...
nokia 3310

Picha: Nokia 3310 imerudi na muundo mpya

Je ulishawahi tumia simu ya Nokia 3310? Na unaukumbuka muundo wake ulivyokuwa? Basi imezinduliwa tena rasmi baada ya miaka 17. Wengi wanaiona simu hiyo kuwa...
NASA

NASA wagundua sayari nyingine 7 zenye ukubwa sawa na Dunia

Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani NASA wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye ukubwa sawa na...
zantel

ZANTEL na BAKWATA wazindua huduma mpya ‘ZANTEL Madrassa’ jijini Dar es Salaam

Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) imezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Zantel Madrasa’ ambayo itawawezesha waumini wa dini ya...
equity bank

Picha: Ufunguzi wa tawi jipya la benki ya Equity Bank

Waziri wa Ardhi Maji na Nishati na Mazingira Zanzibar, Mhe. Salama Aboud Talib jana Jumatano Feb 15 alifungua tawi jipya la benki ya Equity...
sauti za busara

Picha: Ufunguzi wa Tamasha la sauti za Busara katika mnara wa kumbukumb, Kisonge

Tamasha la Sauti za Busara jana Alhamis (Feb.9) limefanya ufunguzi wake rasmi kwa kutoa burudani mbali mbali katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu wa...
kidato

Haya hapa ni matokeo ya Kidato cha Pili

Baada ya siku kadhaa Baraza la mitihani NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne (FORM IV) nayo Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar...
sauti za busara

Ubalozi wa Uswiss watoa mchango wa Mil. 260 kwa tamasha la Sauti za Busara

Ubalozi wa Uswiss nchini umechangia zaidi ya shilingi milioni 260 ili kuwezesha Tamasha la Muziki la Sauti za Busara Zanzibar kwa miaka mitatu ijayo....

Follow Us

2,282FansLike
1,113FollowersFollow
106FollowersFollow
481SubscribersSubscribe
Advertisement