28 C
Zanzibar
Wednesday, January 16, 2019

New Video: Lucky Cray – Mawazo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka visiwani Zanzibar, Lucky Cray ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Mawazo'. Video imetayarishwa na Director Sam. Angalia...

New Video: Ally Luna – Kadoti

Msanii wa muziki Ally Luna ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Kadoti'. Video imetayarishwa na director Ivan. Angalia hapa na utoe maoni yako https://youtu.be/sFMlYfn0dyk  

New Video: Alpha Da Best – Kisa Nini

Alpha Da Best ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Kisa Nini'. Video imetayarishwa na Director Anko Jo. Angalia hapo chini na utoe maoni yako. https://youtu.be/r22KlYLSC9g  

New Video: Queen Coco ft. Sultan King – Wewe Tu

Mwanadada Queen Coco ameachia video ya wimbo wake mpya 'Wewe Tu' akiwa amemshirikisha Sultan King. Video imetayarishwa na director Eddy. Angalia hapo chini na utoe...

New Video: Ison Mistari – My Talent

Kama uliwahi kuisikiliza wimbo wake, sasa hii hapa ni video mpya ya wimbo wa 'My Talent' kutoka kwa Ison Mistari. Video imetayarishwa na Mirjam...

New Video: The Brain ft. Mass – Murder Case

Kutoka katika lebo ya Carribean Music, Msanii wa muziki The Brain ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Murder case' akiwa amemshirikisha Mass. Video...

New Video: Abramy The Voice – Mwasi Kitoko

Msanii wa muziki Abramy The Voice ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Mwasi Kitoko'. Video imetayarishwa na Director Sam. Angalia hapo chini na utoe...

New Video: Fany – Tukikutana

Video ya wimbo mpya kutoka kwa Fany inaitwa 'Tukikutana'. Video imetayarishwa na Jupiter Studios. Angalia hapo chini na utoe maoni yako. https://youtu.be/3TTfV-L6NGM

New Video: Super Boy Alfa – Moto

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Super Boy Alfa, ameachia video ya wimbo wake mpya "Moto". Video imetayarishwa na director Modi Peru. Angalia video hiyo...

New Video: Kinde Makengele – Ukweli Wangu

Kinde Makengele ameachia video ya wimbo wake mpya "Ukweli Wangu". Video imatayarishwa na Director Modi Peru. Angalia hapa na utoe maoni yako. https://youtu.be/WRhirhtNWKc  

New Video: New Money ft. Berry Black & Shirko – Mr. Camera Man

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar ameachia video ya wimbo wake mpya 'Mr. Camera Man' akiwa amemshirikisha Berry Black na Shirko....

New Video: Haule – Sikuamini

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Haule, ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa "Sikuamini". Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr kutokea studio za...

New Video: Stone Town Cypher – Fight Against Drug Abuse

Lebo ya Stone Town Records imeachia video yao ya kwanza ambayo inazungumzia kuhusu vita dhidi ya madawa ya kulevya. Wimbo unaitwa "Fight Against Drug...

New Video: Sultan King – Yale Yale

Hii hapa ni video nyingine ya wimbo mpya kutoka kwa Sultan King, wimbo unaitwa "Yale Yale". Video imetayarishwa na Kwetu studio. Angalia hapa na utoe...

New Video: Franco – Kipepeo

Msanii wa muziki Franco ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa "Kipepeo". Video imetayarishwa na studio za M-Motion Visual. Angalia hapa video hiyo na utoe...

New Video: Rico Single – Sakata

Baada ya kuachia wimbo wa kusikiliza wa 'Sakata' hii hapa ni video yake. Rico Single amewaletea video ya wimbo huo 'Sakata'. Video imetayarishwa na...

New Video: Sharo Music ft. Honey Ella – Safarini

Baada ya kuisikiliza wimbo wake hii hapa ni video yake Sharo Music akiwa amemshirikisha Honey Ella 'Safarini'. Video imetayarishwa na Director Panther na Dully...

New Video: Jumaa Town – Legend

"Hajawahi pata tuzo wala makala kumsifia, ana sikio la muziki, vocal na kiki, anakupa ushauri toa kile weka hiki" Hayo ni kati ya mashairi...

New Video: Pozi Adim ft. Ommy Tone – Nina Imani Nae

Video ya wimbo mpya unaitwa 'Nina Imani Nae' kutoka kwa msanii wa muziki visiwani Zanzibar, Pozi Adim akiwa amemshirikisha Ommy Tone. Video imeongozwa na...

New Video: Mass – Hatare

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutokea studio za Carribean Records, Mass ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Hatare'. Video imetayarishwa na Carribean Production. Angalia...

Follow Us

2,239FansLike
1,120FollowersFollow
103FollowersFollow
331SubscribersSubscribe
Advertisement