28 C
Zanzibar
Wednesday, January 16, 2019

New Video: Sabby Angel – Inahusu

Muigizaji wa filamu Tanzania na muimbaji Salma Tamim aka Sabby Angel ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Inahusu”, Video imetayarishwa na Adam Juma kutoka...

New Video: Mzoularr – One In My City

Kama tayari umeshausikiliza wimbo wake, hii hapa ni video mpya ya wimbo huo unaitwa "One In My City" kutoka kwa msanii Mzoularr. Video imetayarishwa...
video

Video: Eddy Kenzo ft. Patoranking – Royal

Hii video mpya ya msanii muziki kutoka Uganda Eddy Kenzo aliyomshirikisha Nigerian Dance-Hall Patoranking wimbo unaitwa “Royal”

New Video: Ison Mistari – My Talent

Kama uliwahi kuisikiliza wimbo wake, sasa hii hapa ni video mpya ya wimbo wa 'My Talent' kutoka kwa Ison Mistari. Video imetayarishwa na Mirjam...

New Video: YG feat. Drake & Kamaiyah – Why You Always Hatin?

YG, Drake, and Kamaiyah stunt on their haters in the video for their Still Brazy banger, “Why You Always Hatin?” In between dates on his...
sultan king

Video: Sultan King – Shikilia

Official Video ya Sultan King, audio imetengenezwa katika studio za Island Records na Producer Aloneym, Video imesimamiwa na Msafiri wa Kwetu Studios. https://youtu.be/xS5dUNAq34Q  

New Video: Pipi ft Nikki wa Pili – Hafai

Msanii Pipi mwenye sauti tamu katika mziki wa Bongo fleva ameachia video yake mpya ya wimbo “Hafai”, amemshirikisha mkali wa Hiphop Nikki wa Pili....
video

New Video: Wiz Khalifa – Elevated

Wiz Khalifa has “Elevated” his game. After releasing his “Zoney” music video last month with a little help from his son Sebastian, the Pittsburgh...

Video: Kayumba – Kipepeo

Msanii kutoka kwa Mkubwa na wanawe Kayumba Juma ameachia video yake mpya ya wimbo wa ‘Kipepeo’ iliyoongozwa na director Tonee Blaze. https://youtu.be/q_pOpfGDnKE  

New Video: Boy Wiz – Move It

Tayari umeshausikia wimbo mpya wa Boy Wiz unaitwa "Move It"? Kama bado bonyeza hapa kuusikiliza. Boy Wiz amewaletea video ya wimbo wake mpya wa...

New Video: Lucky Cray – Kamata

Kama hujausikia na kuupata wimbo wake, bonyeza hapa kuupata. Baada ya kuusikiliza wimbo huo, Lucky Cray anakukaribisha kutazama video ya wimbo huo mpya unaitwa...
video

Video: French Montana – Wave Gods Intro

Waves don’t die. Fresh off last week’s release of his “Old Man Wildin'” video, French Montana unleashes the visual for the Chris Brown-assisted “Wave...

New Video: King Crazy GK – Mzuri Pesa

Rapa kutoka kundi la East Coast Team, King Crazy GK amevunja ukimya kwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Mzuri Pesa’. Audio imeandaliwa na...

#TBT: Mantuzo ft Rico Single – Natamani (+Video)

Ni #TBT (Throw Back Thursday) ya msanii Mantuzo akiwa ameshirikiana na Rico Single katika video ya wimbo 'Natamani'. Wimbo umetengenezwa katika studio ya Jupiter...

New Video: Fany – Tukikutana

Video ya wimbo mpya kutoka kwa Fany inaitwa 'Tukikutana'. Video imetayarishwa na Jupiter Studios. Angalia hapo chini na utoe maoni yako. https://youtu.be/3TTfV-L6NGM
video

New Video: Mad Ice – Delilah

Ni miongoni mwa waimbaji waishio nje ya Tanzania na bado wana mashabiki wengi kwenye nchi ya Tanzania… Mad Ice anayo video nyingine mpya ya kutuonyesha.

New Video: Smile – Saa Ngapi

Msanii Smile ameachia video yake  mpya 'Saa Ngapi'. Video imetayarishwa na Director Kenny. https://youtu.be/y_Yl84UidCw  

New Video: DJ Khaled feat. Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Jeremih, Future, &...

Secure the bag. Fresh off hosting the 2016 BET Hip-Hop Awards, DJ Khaled debuts the cinematic video for “Do You Mind,” the latest single...

New Video: Linah – Sina Kosa

Msanii wa Muziki wa bongo fleva Linah Sanga ameachia video mpya ya wimbo “Kosa Sina”, video imeongozwa na Khalfani Khalmandro. https://youtu.be/zwTvPId0Lgc  

New Video: Shetta – Namjua

Utakuwa umeshaona kava zilizoenea kwenye mitandao mbalimbali ambazo zinaashiria ujio wa video ya single mpya ya Shetta iitwayo ‘Namjua’. Sasa leo Mei 6, 2016 msanii...

Follow Us

2,239FansLike
1,120FollowersFollow
103FollowersFollow
331SubscribersSubscribe
Advertisement