33 C
Zanzibar
Friday, April 26, 2019
video

Video: Mzungu Kichaa – Relax Your Mind

Official video ya mzungu kichaa wimbo unaitwa 'Relax Your Mind'
Kid inkvideo

New Video: Kid Ink – Bank

Kid Ink’s got “Bank.” Coming off last month’s “Good Good” collaboration with Lil Durk, the Batgang leader unleashes a brand new video for a...

New Video: Shery Zuu Ft Msaga Sumu – Babu Uyo

Video mpya ya msanii mpya anaitwa Shery Zuu amemshirikisha Msaga Sumu wimbo unaitwa “Babu Uyo”, Video imeongozwa na Tonee Blaze. https://youtu.be/rMQI_0uxRPw  

New Video: Nay wa Mitego- Pale Kati

Rapper Nay wa Mitego ameachia video yake ya kwanza ya wimbo ‘Pale Kati’. Ndani ya video hii makundi mbalimbali yanashindana kudansi. https://youtu.be/u5oNsX0o3dc  

New Video: Dabo – Sema Tena

Msanii wa muziki wa Reggae Bongo, Dabo ameachia video yake mpya ya wimbo wa ‘Sema Tena. Video hiyo imeongozwa na Azazel kutoka Flava Production. https://youtu.be/SnWSamPZN2k  

New Video: Future feat. Drake – Used to This

What a Time to Be Alive…again. Fresh off their “Summer Sixteen Tour,” Future teams up with Drake once more on his Zaytoven-produced single “Used...

New Video: Chidy Grenade – Nilie na Nani

Kipaji kingine kutoka kwa Tausi Entertainment. Video ya wimbo mpya kutoka kwa Chidy Grenade inayoitwa 'Nilie na Nani'. Video imetayarishwa na Kwetu Studio. Angalia hapo...

New Video: Kassim Mganga ft. Baby J – Lea

Msanii wa muziki Kassim Mganga ameachia video ya wimbo mpya unaoitwa 'Lea' akiwa amemshirikisha Baby J. Video imetayarishwa na director Ivan. https://youtu.be/0uzTvNOIpiI  

New Video: Abramy The Voice – Mwasi Kitoko

Msanii wa muziki Abramy The Voice ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Mwasi Kitoko'. Video imetayarishwa na Director Sam. Angalia hapo chini na utoe...

New Video: Lucky Cray – Kamata

Kama hujausikia na kuupata wimbo wake, bonyeza hapa kuupata. Baada ya kuusikiliza wimbo huo, Lucky Cray anakukaribisha kutazama video ya wimbo huo mpya unaitwa...
video

Video: Trey Songz feat. Dave East, Mike x Angel, DJ Drama – Everybody Say

Trey Songz is back with a video for “Everybody Say” off his November mixtape To Whom It May Concern. This time around, Trigga calls...
video

Video: Cliff Mitindo Feat Mo Music – Natamani

Video mpya ya rapper Cliff Mitindo amemshirikisha Mo Music wimbo unaitwa “Natamani”, Video Director: Kwetu Studio
ben

New Video: Ben Pol – Moyo Mashine

Msanii wa RNB Tanzania Ben Pol kaachia video mpya ya wimbo unaitwa “Moyo Mashine” Video imefanyika Afrika Kusini. https://youtu.be/AyhTV1dwsok  

New Video: Joh Makini ft. Chidinma – Perfect Combo

Joh Makini ameikata kiu ya muda mrefu ya mashabiki waliokuwa wanatamani kuona video ya wimbo wake mpya ‘Perfect Combo’ aliomshirikisha msanii wa Nigeria, Chidinma....

New Video: S Kide – Ushemeji Upo

Msanii S Kide ameachia video ya wimbo wake mpya ya 'Ushemeji Upo' na hii ni baada msanii Man Fongo kuachia wimbo unaoitwa 'Hainaga Ushemeji'. https://youtu.be/4Zwfx3o40R8  

New Video: Snura – Chura

Msanii Snura hatimaye ameachia video yake mpya ya wimbo wa “Chura”, baada ya kufunguliwa kwa wimbo huo. Angalia hapa alafu toa koment yako. https://youtu.be/LOQJs0cuBgQ  

New Video: Chemical – Mary Mary

Video ya rapper Chemical ya wimbo wake mpya Mary Mary. Wimbo una kisa cha kuvutia na unaonesha uwezo mkubwa wa rapper huyu kiundishi. Wimbo...

Video: Mariah Carey feat. YG – I Don’t

Baada ya miaka 12 Mariah Carey aliachia wimbo 'We Belong Together' na sasa amerudi tena na 'I Don't' ambayo video ya wimbo wake mpya...

New Video: Alatish Mabawa – Machozi

Msanii Alatish Mabawa ameachia video ya wimbo wake mpya 'Machozi'. Video imetayarishwa na Director Lucky. https://youtu.be/JXUbMBNtmg8  

New Video: Amini – Sijui

Hii hapa ni video ya wimbo mpya kutoka kwa Amini inaitwa 'Sijui'. Na kama bado hujausikia wimbo wake bonyeza hapa kuusikia. Video imetayarishwa na...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
424SubscribersSubscribe
Advertisement