27.4 C
Zanzibar, TZ
Thursday, February 22, 2018

New Video: New Money ft. Berry Black & Shirko – Mr. Camera Man

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar ameachia video ya wimbo wake mpya 'Mr. Camera Man' akiwa amemshirikisha Berry Black na Shirko....

New Video: Haule – Sikuamini

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Haule, ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa "Sikuamini". Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr kutokea studio za...

New Video: Stone Town Cypher – Fight Against Drug Abuse

Lebo ya Stone Town Records imeachia video yao ya kwanza ambayo inazungumzia kuhusu vita dhidi ya madawa ya kulevya. Wimbo unaitwa "Fight Against Drug...

New Video: Sultan King – Yale Yale

Hii hapa ni video nyingine ya wimbo mpya kutoka kwa Sultan King, wimbo unaitwa "Yale Yale". Video imetayarishwa na Kwetu studio. Angalia hapa na utoe...

New Video: Franco – Kipepeo

Msanii wa muziki Franco ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa "Kipepeo". Video imetayarishwa na studio za M-Motion Visual. Angalia hapa video hiyo na utoe...

New Video: Rico Single – Sakata

Baada ya kuachia wimbo wa kusikiliza wa 'Sakata' hii hapa ni video yake. Rico Single amewaletea video ya wimbo huo 'Sakata'. Video imetayarishwa na...

New Video: Sharo Music ft. Honey Ella – Safarini

Baada ya kuisikiliza wimbo wake hii hapa ni video yake Sharo Music akiwa amemshirikisha Honey Ella 'Safarini'. Video imetayarishwa na Director Panther na Dully...

New Video: Jumaa Town – Legend

"Hajawahi pata tuzo wala makala kumsifia, ana sikio la muziki, vocal na kiki, anakupa ushauri toa kile weka hiki" Hayo ni kati ya mashairi...

New Video: Pozi Adim ft. Ommy Tone – Nina Imani Nae

Video ya wimbo mpya unaitwa 'Nina Imani Nae' kutoka kwa msanii wa muziki visiwani Zanzibar, Pozi Adim akiwa amemshirikisha Ommy Tone. Video imeongozwa na...

New Video: Mass – Hatare

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutokea studio za Carribean Records, Mass ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Hatare'. Video imetayarishwa na Carribean Production. Angalia...

New Video: Pozza Boy ft. Dayna Nyange – Sweet Love

Hii hapa ni video ya wimbo mpya kutoka kwa Pozza Boy unaitwa 'Sweet love' akiwa amemshirikisha Dayna Nyange. Video imetayarishwa na Director Ivan. Angalia hapa...

New Video: Mzoularr – Dab Out

Baada ya kuachia wimbo, hii hapa ni video mpya ya wimbo huo kutoka kwa rapa Mzoularr. Wimbo unaitwa 'Dab Out'. Video imetayarishwa na Director...

New Video: Hussy – Narudisha

Msanii wa muziki Hussy ameachia video yake mpya 'Narudisha'. Angalia hapo chini na utoe maoni yako. https://youtu.be/Si-v5xKpcfE

New Video: Nassir Vanillah – Nitakusubiri

Msanii wa muziki wa kipya, Nassir Vanillah ameachia video ya wimbo mpya 'Nitasubiri'. Video imetayarishwa na director Anko Jo. Angalia hapa na utoe maoni yako https://youtu.be/s9SD0mTVfFs        

New Video: Isack Abeneko ft. Khadija Kopa – Kizau zau

Mwanamuziki Isack Abeneko ameachia video ya wimbo wake mpya inayoitwa 'Kizau zau' akiwa amemshirikisha Malkia wa mipasho Khadija Kopa. Video imetayarishwa na director Eric...

New Video: Alpha ft. Chikitita- Siwezi

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alpha wa Melody ameachia video ya wimbo wake mpya 'Siwezi'. Video imetayarishwa na director Creator pro5. Angalia hapa na...

New Video: Manchado ft. Juma Nature – Kwa Ajili ya Wana

Rapa Man Chado ameachia video ya wimbo wake 'Kwa Ajili ya Wana' akiwa amemshirikisha Juma Nature. Video imetayarishwa na Kokwa Production na director Benjamin. Angalia...

New Video: Alatish Mabawa – Machozi

Msanii Alatish Mabawa ameachia video ya wimbo wake mpya 'Machozi'. Video imetayarishwa na Director Lucky. https://youtu.be/JXUbMBNtmg8  

New Video: Hemedy Music – Kaning’ang’ania

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar Hemedy Music ameachia video mpya "Kaning'ang'ania". Video imetayarishwa na Director Juhudi. https://youtu.be/DZFoye2v-XY

New Video: Wiz D ft. Alpha – Fly Girl

Msanii wa muziki Wiz D ameachia video yake mpya 'Fly Girl' akiwa amemshirikisha Alpha wa Melody. Video imetayarishwa na 5D Production. Angalia hapa na utoe...

Follow Us

1,276FansLike
1,140FollowersFollow
97FollowersFollow
28,911SubscribersSubscribe
Advertisement