25 C
Zanzibar
Monday, July 22, 2019
michezo

Mbaraka Said Husun achaguliwa kuwa mwenyekiti wa Michezo katika ofisi ya makamu wa pili...

Kamati ya Michezo ya Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais leo imefanya uchaguzi wa kuchagua Mwenyekiti na Makamo Mwenyeti wa kamati hiyo inasimamia...
zanzibar heroes

Hiki hapa ni kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoingia katika michuano ya CECAFA

Imetayarishwa: Prince Almecky Kocha wa timu ya taifa ya Zanzibar Heroes, Ahmed Morocco ametangaza kikosi chake ambacho kitakachochuana katika michuano ya kombe la chalenji ambalo...
chelsea

FA yailipa Chelsea Paundi milioni 150.8

Klabu ya soka ya Chelsea imelipwa paundi milioni 150.8 na chama cha soka cha England FA baada ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu msimu...
toure

Toure asaini mkataba wa mwaka mmoja City

Kiungo wa Manchester City Yaya Toure (34) amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja katika miamba hiyo ya Manchester City na kuvunja matumaini ya timu...
herrera

Herrera ataka kusalia United, aitolea nje Barcelona

Kiungo wa Manchester United Ander Herrera ametoa ishara kuwa anataka kufanya mkataba mpya na Mashetani Wekundu wa Old Trafford. Mapema mwezi huu, ilidaiwa kuwa Herrera...
umisseta

UMISSETA kanda ya Unguja wataja kikosi chao kitakachokwenda Mwanza

Kocha msaidizi wa timu ya Kanda ya Unguja, Abdul wahab Dau “Mwalimu Dau” ametangaza kikosi kipya kinachotarajiwa cha wachezaji 21 kitakachokwenda Butimba Jijini Mwanza ...
Sports Pesa

Picha: Everton kupambana na mshindi wa michuano ya Sports Pesa Julai 13

SportPesa imeanza kuthibitisha nia yake ya kendeleza soka la Tanzania kwa kutangaza kuwa mshindi wa michuano ya SportPesa Super Cup atawavaa miamba wa soka...
mourinho

“Mbio za magari kwangu ni muhimu kuliko mpira wa Chelsea na Arsenal” – Jose...

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amewashangaza wengi baada ya kuacha kwenda kutazama fainali ya FA Cup kati ya Arsenal na Chelsea katika uwanja...
Sports Pesa

Jang’ombe Boys kupambana na Gor Mahia michuano ya Sports Pesa Super Cup June 5

SportsPesa wamezindua rasmi mashindano Kwa washirika wake Katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki , mashindano haya yatajulikana kwa Jina la  SportPesa Super Cup'ff Mashindano hayo...
muungano

Picha: Timu ya Nyuki yanyakua ubingwa wa Muungano Cup Zanzibar

Katika kuadhimisha siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye michezo wa mpira wa kikapu timu ya Nyuki ilifanikiwa kunyakua ubingwa wa michuano hiyo...
kashiru

Kashiru Salum aelezea utofauti wa soka la ufukweni na la kawaida

Mfungaji bora wa ligi kuu ya Soka la Ufukweni Zanzibar Kashiru Salum ambae kwa sasa anacheza timu ya Kijichi katika ligi kuu soka ya...
judo

Timu ya JUDO Zanzibar yawaahidi wazanzibari kuubakisha ubingwa nyumbani

Timu ya taifa ya mchezo wa JUDO Zanzibar imetoa ahadi kwa wazanzibar na kuwahakikishia ya kuubakisha ubingwa katika mashindano ya East Africa Judo Champion yanayotarajiwa...
arsenal

Arsenal waingia robo fainal kombe la FA baada kuwafunga Sutton 2-0

Arsenal wamefika robo fainali ya Kombe la FA baada ya kuwalaza Sutton United kupitia mabao ya Lucas Perez na Theo Walcott. Katika mechi hiyo iliyochezewa...
mourinho

Mourinho aitabiria Chelsea ubingwa wa EPL

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema klabu ya Chelsea inaweza kuangazia michuano ya FA kwani tayari wanajua ni mabingwa wa Ligi ya Premia. Vijana...
theo combain

Theo Combain na Auto Brazil kucheza mechi ya hisani kumchangia mchezaji mwenzao

Timu ya Theo Combain na timu ya Auto Brazil zitacheza mchezo maalum siku ya Jumamosi saa 10:15 za jioni  wa kumchangia matibabu mshambuliji wa...
Afrika

Klabu Bingwa Afrika: Zimamoto waondoka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ferroviario De Beira

Katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, leo katika uwanja huo Timu ya Zimamoto imejaribu karata yake kwa ushinda wa bao 2-1 dhiti ya Timu...
amani

hivi hapa ni viinglio ukitaka kuona mechi za klabu bingwa na kombe la shirikisho,...

Vilabu vya Zimamoto na KVZ vimetangaza rasmi gharama za kiingilio katika uwanja wa Amani kwenye michezo ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Barani...
kmkm

Ligi Kuu Zanzibar: KMKM yaichakaza Kilimani City 2-0

Klabu ya Mabaharia wa KMKM jioni ya jana imefanikiwa kupata alama tatu muhimu baada ya kuifunga Kilimani City 2-0 katika mchezo wa ligi kuu...
Z.F.U

Picha: Z.F.U wanyimwa ubingwa kwa penalti 4-2

Timu ya chama cha wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Z.F.U jana Ijumaa (Feb.4) waliondoka vichwa chini baada ya kufungwa kwa penalti 4-2 na...
misri

Misri waingia fainali kwa penalti 4-3 dhidi ya Burkina Faso

Nusu fainali ya kwanza ya michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON 2017 ilichezwa usiku wa Alhamisi (Feb.2) katika uwanja wa  Stade de...

Follow Us

2,277FansLike
1,112FollowersFollow
106FollowersFollow
465SubscribersSubscribe
Advertisement