29.5 C
Zanzibar
Thursday, April 25, 2019
chura

Picha: Usiku wa chura ulivyopagawisha wazanzibari Wikiendi hii

Msanii wa kike Snura aliweza kuzikonga nyoyo za mashabiki waliofika katika Usiku wa chura uliofanyika kisiwani Zanzibar katika ukumbi wa Police Messi. Snura aliweza...
zanzibar

Picha: Zanzibar Yaadhimisha Siku ya Makumbusho Duniani

Waziri wa Habari, Utalili, Utamaduni na Michezo Zanzibar Rashid Ali Juma amewataka  wananchi wa Zanzibar kutumia fursa ya  kutembelea Jengo la Makumbusho  ya Mnazimmoja...
uhuru

Picha: Mbio za Mwenge wa Uhuru wazindua mradi wa barabara Jimbo la Mpendae

Mbio za mwenge wa Uhuru ambazo zinazoongozwa na Kiongozi  wa mbio hizo Ndg. George Jackson visiwani Zanzibar, wilaya ya Mjini na jana zilifikia katika...
fauzia

Picha: Mazishi ya Muimbaji Fauzia Abdallah

Mwimbaji gwiji wa muziki wa TAARAB asilia kutoka Zanzibar wa kundi maarufu duniani lenye miaka zaidi ya 105 Nadii Ikhwaan Safaa (Malindi Musical Club),...
ethiopian

(Pictures): Ethiopian Airways Join ZIFF 2016

Travelling to Zanzibar will be even easier this year thanks to a sponsorship by Ethiopian Airline that will give discounted rates for international travellers...
mafikizolo

(Picha): Diamond na Mafikizolo katika Tamasha la Vodacom Chuo Kikuu Dodoma

Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu katika Tamasha lililoandaliwa na Mtandao wa...

Wanamuziki wa Zanzibar waadhimisha siku ya Jazz (Picha)

Katika kuwakumbuka watu mbali mbali katika maisha ya binadamu wanamuziki wa Zanzibar wameadhimisha siku ya Jazz kwa ajili kuwakumbuka wanamuziki na wanaharakati wa muziki...
pbz

Picha: PBZ wafungwa 1-0 na Z.F.U katika mechi ya hisani Uwanja wa Amani, Zanzibar

Timu ya wasani wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar (ZFU) jana iliwafunga timu ya wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ goli 1-0...

Picha: Msami Baby alivyotoa burudani katika Full Moon Party, Zanzibar

Siku ya Jumamosi ya April, 23. Msanii anayefanya vizuri kutokea THT, Msami Baby alitoa burudani kwa mashabiki wake katika Full Moon Party iliyofanyika Kendwa...
kamera

Kamera mnaso: Harakati katika mitaa ya Zanzibar

Tembea tembea zangu Ijumaa ya leo katika mitaa mbali mbali ya Zanzibar na kuweza kuona pirika nyingi watu wanazifanya na Zenji255 ikaona na wewe...
show

Picha: Wakushi, Baby J na Rico Single katika ‘live’ show

Kama ulipitwa na wikiendi iliyopita basi hii hapa nakusogezea karibu angalia jinsi show ya Wakushi, Baby J na Rico iliyofanyika Jambo Beach Bungalows, Paje. ...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
423SubscribersSubscribe
Advertisement