28 C
Zanzibar
Thursday, January 17, 2019
teyana

Picha: Teyana Taylor na Travis Scott wakava jarida la Paper

Mwanadada kutoka Marekani Teyana Taylor akiwa rapa Travis Scott wamekava katika toleo jipya la jarida la Paper.
zanzibar

Picha: Zanzibar Yaadhimisha Siku ya Makumbusho Duniani

Waziri wa Habari, Utalili, Utamaduni na Michezo Zanzibar Rashid Ali Juma amewataka  wananchi wa Zanzibar kutumia fursa ya  kutembelea Jengo la Makumbusho  ya Mnazimmoja...
ZIFF

Picha: Ufunguzi wa Tamasha la ZIFF 2017

Siku ya Jumamosi tarehe 8 Julai, ilikuwa ni siku ya kutimiza miaka 20 ya Tamasha la Filamu za nchi za majahazi Zanzibar (ZIFF) ambapo...
aboud

Picha: Kupokelewa na Kuzikwa kwa mwili wa Marehemu Aboud Jumbe

Mwili wa aliyekuwa Raisi wa awamu ya pili Zanzibar, Marehemu Aboud Jumbe amezikwa jumatatu Agosti 15 visiwani Zanzibar nyumbani kwake Migombani. Viongozi mbali mbali walihudhuria...
pbz

Picha: PBZ wafungwa 1-0 na Z.F.U katika mechi ya hisani Uwanja wa Amani, Zanzibar

Timu ya wasani wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar (ZFU) jana iliwafunga timu ya wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ goli 1-0...
fauzia

Picha: Mazishi ya Muimbaji Fauzia Abdallah

Mwimbaji gwiji wa muziki wa TAARAB asilia kutoka Zanzibar wa kundi maarufu duniani lenye miaka zaidi ya 105 Nadii Ikhwaan Safaa (Malindi Musical Club),...
wanne star

Picha: Wanne Star na Michael Jackson wa Zanzibar walivyotoa burudani Nungwi

Wikiendi ilianza uzuri kwa baadhi ya kumbi za hapa visiwani ambapo vikundi na wasanii mbali mbali waliweza kutoa burudani za kila aina katika sehemu...
kagera

Picha: Tamasha la kuchangia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva wameibuka washindi kwa penati tano kwa nne dhidi ya wasanii wa Bongo Movie katika mechi ya hisani kwa...
DJ waiz

Picha: DJ Waiz ashoot video ya ‘Shobo Robo’

Hatimaye msanii na mwanamitindo wa muda mrefu, DJ Waiz ameshoot video ya wimbo wake mpya 'Shobo Robo' ambayo alioshirikiana na Baby Jay na Kijukuu. Akiongea...
dj khaled

Picha: DJ Khaled anunua jumba la kifahari la Beverly Hills $9.9 Milioni

Msanii kutokea nchini Marekani, DJ Khaled ameinunua nyumba ya kifahari ya Beverly Hills iliyokuwa ikimilikiwa na muimbaji na muigizaji maarufu Robbie Williams kwa dola...
ethiopian

(Pictures): Ethiopian Airways Join ZIFF 2016

Travelling to Zanzibar will be even easier this year thanks to a sponsorship by Ethiopian Airline that will give discounted rates for international travellers...
mafikizolo

(Picha): Diamond na Mafikizolo katika Tamasha la Vodacom Chuo Kikuu Dodoma

Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu katika Tamasha lililoandaliwa na Mtandao wa...
mapinduzi

Picha: Wasanii wa Zenji Fleva walivyopamba Mkesha wa siku ya Mapinduzi Maisara

Chama cha wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar jana (Januari 11) kilitoa burudani katika mkesha wa kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar...

Wanamuziki wa Zanzibar waadhimisha siku ya Jazz (Picha)

Katika kuwakumbuka watu mbali mbali katika maisha ya binadamu wanamuziki wa Zanzibar wameadhimisha siku ya Jazz kwa ajili kuwakumbuka wanamuziki na wanaharakati wa muziki...
kamera

Kamera mnaso: Harakati katika mitaa ya Zanzibar

Tembea tembea zangu Ijumaa ya leo katika mitaa mbali mbali ya Zanzibar na kuweza kuona pirika nyingi watu wanazifanya na Zenji255 ikaona na wewe...
the dream

Picha: Rahatul-Zaman na Smile walivyotoa burudani katika uzinduzi wa ‘The Dream’

Usiku wa jana (Jan. 28) kikundi cha taarab asili cha Rahatul-Zaman na msanii wa kizazi kipya Smile, walitoa burudani katika uzinduzi wa filamu mpya...
rico single

Picha: Rico Single alivyotoa burudani Full Moon Party Wikiendi hii

Msanii wa muziki Rico Single aliweza kuzifurahisha nyoyo za wageni mbali mbali waliofika katika Full Moon Party iliyofanyika siku ya Jumamosi (Machi 11) katika...

Follow Us

2,239FansLike
1,120FollowersFollow
103FollowersFollow
331SubscribersSubscribe
Advertisement