28.1 C
Zanzibar
Friday, April 26, 2019
teyana

Picha: Teyana Taylor na Travis Scott wakava jarida la Paper

Mwanadada kutoka Marekani Teyana Taylor akiwa rapa Travis Scott wamekava katika toleo jipya la jarida la Paper.
show

Picha: Wakushi, Baby J na Rico Single katika ‘live’ show

Kama ulipitwa na wikiendi iliyopita basi hii hapa nakusogezea karibu angalia jinsi show ya Wakushi, Baby J na Rico iliyofanyika Jambo Beach Bungalows, Paje. ...
ZIFF

Picha: Ufunguzi wa Tamasha la ZIFF 2017

Siku ya Jumamosi tarehe 8 Julai, ilikuwa ni siku ya kutimiza miaka 20 ya Tamasha la Filamu za nchi za majahazi Zanzibar (ZIFF) ambapo...
uhuru

Picha: Mbio za Mwenge wa Uhuru wazindua mradi wa barabara Jimbo la Mpendae

Mbio za mwenge wa Uhuru ambazo zinazoongozwa na Kiongozi  wa mbio hizo Ndg. George Jackson visiwani Zanzibar, wilaya ya Mjini na jana zilifikia katika...
siti bint saad

Picha: Penny Royal wapewa tunzo ya uchangiaji bora kwenye Taasisi ya Siti Bint Saad

Taasisi ya Siti Bint Saad hapa Zanzibar iliwakabidhi tuzo na zawadi mbali mbali kwa muekezaji wa Penny Royal kwa mchango wake mkubwa kufanikisha Ujenzi...
ziff

Siku ya 5: Angalia picha za matukio mbalimbali katika Tamasha la ZIFF

Ikiwa zimesalia siku kadhaa kuendea mwishoni mwa tamasha la filamu za nchi za majahazi (ZIFF), kwa siku ya jana (Jumatano, Julai 12) wananchi wengi...
zanzibar

Picha: Zanzibar Yaadhimisha Siku ya Makumbusho Duniani

Waziri wa Habari, Utalili, Utamaduni na Michezo Zanzibar Rashid Ali Juma amewataka  wananchi wa Zanzibar kutumia fursa ya  kutembelea Jengo la Makumbusho  ya Mnazimmoja...

Picha: Blue, Barnaba na Linex walivyopagawisha Zanzibar

Usiku wa kuamkia Jumamosi Disemba 3,Wasanii kutoka Dar es Salaam Mr. Blue, Barnaba na Linex walifanya onyesho la kufungia mwaka katika ukumbi wa CCM...
kamera

Kamera mnaso: Harakati katika mitaa ya Zanzibar

Tembea tembea zangu Ijumaa ya leo katika mitaa mbali mbali ya Zanzibar na kuweza kuona pirika nyingi watu wanazifanya na Zenji255 ikaona na wewe...
chura

Picha: Usiku wa chura ulivyopagawisha wazanzibari Wikiendi hii

Msanii wa kike Snura aliweza kuzikonga nyoyo za mashabiki waliofika katika Usiku wa chura uliofanyika kisiwani Zanzibar katika ukumbi wa Police Messi. Snura aliweza...
dj khaled

Picha: DJ Khaled anunua jumba la kifahari la Beverly Hills $9.9 Milioni

Msanii kutokea nchini Marekani, DJ Khaled ameinunua nyumba ya kifahari ya Beverly Hills iliyokuwa ikimilikiwa na muimbaji na muigizaji maarufu Robbie Williams kwa dola...

Picha: Msami Baby alivyotoa burudani katika Full Moon Party, Zanzibar

Siku ya Jumamosi ya April, 23. Msanii anayefanya vizuri kutokea THT, Msami Baby alitoa burudani kwa mashabiki wake katika Full Moon Party iliyofanyika Kendwa...
mapinduzi

Picha: Wasanii wa Zenji Fleva walivyopamba Mkesha wa siku ya Mapinduzi Maisara

Chama cha wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar jana (Januari 11) kilitoa burudani katika mkesha wa kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar...
pbz

Picha: PBZ wafungwa 1-0 na Z.F.U katika mechi ya hisani Uwanja wa Amani, Zanzibar

Timu ya wasani wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar (ZFU) jana iliwafunga timu ya wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ goli 1-0...
muhammad ali

Picha: Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa Bondia Muhammad Ali

Bondia Maarufu Muhammad Ali maelfu ya watu walijipanga barabarani ili kumuaga wakati msafara ukipita kuelekea mji wa kwao Louisville, Kentucky ambapo ndo alipo zikwa...
king majuto

Picha: King Majuto na Kingwendu walivyowavunja mbavu watoto Kariakoo

Ikiwa ni siku ya kusherehekea siku ya Mapinduzi ya Zanzibar, Januari 12. Wachekeshaji kutoka Tanzania Bara, King Majuto na Kingwendu Ngwendulile walitoa burudani ya...
aboud

Picha: Kupokelewa na Kuzikwa kwa mwili wa Marehemu Aboud Jumbe

Mwili wa aliyekuwa Raisi wa awamu ya pili Zanzibar, Marehemu Aboud Jumbe amezikwa jumatatu Agosti 15 visiwani Zanzibar nyumbani kwake Migombani. Viongozi mbali mbali walihudhuria...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
424SubscribersSubscribe
Advertisement