27 C
Zanzibar
Friday, August 23, 2019
saydon

New Music: Saydon – Bado

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Saydon, wimbo unaitwa "Bado". Wimbo umetayarishwa na producer Chidy Master kutoka studio za Mauzo...
Princess P

New Music: Princess P – Baba Kuku

Wimbo mpya kutoka kwa mwanadada Princess P, wimbo unaitwa "Baba Kuku". Wimbo umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer Hunters Nation. Sikiliza wimbo huo...
marafiki-bongo

New Music: Marafiki Bongo – Mgogoro

Kundi la muziki wa kizazi kipya Marafiki Bongo linatambulisha wimbo wao mpya unaitwa "Mgogoro". Wimbo umetayarishwa na producer Aloneym katika studio za Waiz Empire. Sikiliza...
afro-soul

New Music: The Afro Soul – Cheusi

Kutoka lebo ya Waiz Empire unakaribishwa kusikiliza wimbo mpya kutoka The Afro Soul unaitwa "Cheusi". Wimbo umatayarishwa na producer Hunter Nation. Sikiliza wimbo na utoe...
wiz d

New Music: Wiz D – African Lady

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D ameachia wimbo wake mpya unaitwa "African Lady". Wimbo umetayariswa na producer Bonge Jr katika studio za...
aley star

New Music: Aley Star ft. Rico Single – Chimba

Kama bado hujaiona video ya wimbo mpya wa Aley Star unaitwa "Chimba", kama bado bonyeza hapa kuangalia. Katika wimbo huo Aley Star akiwa amemshirikisha...
ticky

New Music: Ticky ft. Achily – Yatambe

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Ticky, wimbo unaitwa "Yatambe" akiwa amemshirikisha Achily. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu na...
tash the prince

New Music: Tash The Prince – Ushaniwasha

Msanii wa muziki wa kizazi Tash the Prince ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Ushaniwasha". Wimbo umetayarishwa na producer Homas kutoka studio za RockNation Sound. Sikiliza...
muslee

New Music: Muslee ft. Hemedy Music – Chaunabe

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya anaitwa Muslee, wimbo unaitwa "Chaunabe" akiwa amemshirikisha Hemedy Music. Wimbo umetayarishwa katika studio za...
boy wiz

New Music: Boy Wiz – Usibadilike

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Boy Wiz ameachia wimbo unaitwa "Usibadilike". Wimbo umetayarishwa na producer More Name Best katika...
laki

New Music: Laki ft. Kijukuu – Hisia

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Laki wa Promise akiwa amemshirikisha Kijukuu. Wimbo unaendwa kwa jina la "Hisia" umetayarishwa na...
tip king

New Music: T.I.P King – Last Kush

Wimbo mpya kutoka kwa rapa T.I.P King unaitwa "Last Kush". Na kama bado hujaiona video yake bonyeza hapa. Wimbo umetayarishwa na producer Yosia katika...

New Music: Labocxy ft. Chidy Shortcut – Go Down

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea katika lebo ya Jupiter Record, Labocxy ameachia wimbo unaitwa "Go Down" akiwa amemshirikisha...
Rico Single

New Music: Rico Single ft. Chege – Standard

Wimbo mpya kutoka kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya visiwani Zanzibar, Rico Single. Wimbo unaitwa "Standard" akiwa amemshirikisha Chege. Wimbo umetayarishwa katika...
Wigo

New Music: Wigo ft. Pozza Boy – Mapenzi sio Bahati

Kama tayari umeshaiona video mpya ya msanii wa muziki wa kipya, Wigo akiwa amemshirikisha Pozza Boy. Kama bado bonyeza hapa kuiangalia video hiyo. Pakua wimbo...
lucky

New Music: Lucky Cray – Kamata

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Lucky Cray ameachia wimbo wake mpya unaoitwa "Kamata". Wimbo umetayarishwa na producer Fleva Noma. Sikiliza wimbo huo na utoe...
alatish mabawa

New Music: Alatish Mabawa – Bora Mimi

Msanii wa muziki kutokea visiwani Zanzibar Alatish Mabawa ameachia wimbo mpya unaitwa "Bora Mimi". Wimbo umetayarishwa na producer Lil Ghetto na Flavor Noma. Sikiliza wimbo...
Boy wiz

New Music: Boy Wiz – Move It

Msanii aliyechukua tuzo ya chipukizi bora mwaka 2017/18 katika tuzo za Best of Zenji255, Boy Wiz ameachia wimbo mpya unaitwa "Move It". Wimbo umetayarishwa...
mutic

New Music: Mutic – Cool

Muziki mpya kutoka vijana wawili wanaounda kundi linaloitwa Mutic na wimbo wao unaitwa "Cool". Wimbo umetayarishwa na producer Baluz Beatz. Sikiliza wimbo huo na utoe...
alpha

New Music: Alpha – Nikatae

Kama bado hujaiona video ya wimbo huu mpya kutoka kwa Alpha wa Melody bonyeza hapa kuiangalia. Alpha anakukaribisha kuusikiliza wimbo huo unaitwa "Nikatae". Wimbo...

Follow Us

2,283FansLike
1,113FollowersFollow
106FollowersFollow
486SubscribersSubscribe
Advertisement