27 C
Zanzibar
Friday, August 23, 2019

New Music: Rosa Ree ft. Ruby – Champion

Wimbo mpya kutoka kwa mwanadada rapa Rosa Ree unaitwa "Champion" akiwa amemshirikisha Ruby. Sikiliza na utoe maoni yako.  

New Music: Tash The Prince – Mashaallah

Wimbo mpya kutoka kwa Tash The Prince unaitwa "Mashaallah". Wimbo umetayarishwa na producer Negro kutoka studio za Revolution Music. Sikiliza hapo chini na utoe maoni...

New Music: Wigo ft. Public & Ison Mistari – Nipe

Wimbo mpya kutoka kwa mwanamuziki Wigo unaitwa "Nipe" akiwa amemshirikisha Public na Ison Mistari. Wimbo umetyarishwa na producer Lummie na Buju katika studio za...

New Music: Zenji Boy ft Wamoto – Tunaishi Nao

Wimbo mpya kutoka kwa rapa Ison Mistari 'Zenji Boy' unaitwa "Tunaishi Nao" akiwa amemshirikisha Wamoto. Wimbo umetayarishwa na producer Kenny Touchez kutoka studio za...

New Music: Smile The Genius – Bukheri

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile the genius anawakaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa "Bukheri". Wimbo umetayarisha na producer Chidy Master katika studio...

New Music: Chidy Yobo ft. Fany – Kede Kede

Baada ya kimya kirefu huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Chidy Yobo unaitwa "Kede Kede" akiwa amemshirikisha Fany. Sikiliza wimbo huo na utoe maoni...

New Music: Mill Dollar – Nitazoea

Mwanadada kutokea kisiwani Pemba Mill Dollar ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Nitazoea". Wimbo umetayarishwa na producer Chilly K. Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako  

New Music: Aley Star – Ndi Ndi Ndi

Baada ya kufanya vizuri wimbo wake wa "Chimba" huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Aley Star unaitwa "Ndi Ndi Ndi". Wimbo umetayarishwa na...

New Music: Wiz D – Body

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Body". Wimbo umetayarishwa katika studio za Ston Town Records na producer...

New Music: Fredrigo – Kipenda Roho

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar, Fredrigo ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Kipenda Roho". Wimbo umetayarishwa katika studio za Jupiter Records...

New Video: Alpha Da Best – Usidanganyike

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alpha Da Best anawaletea video ya wimbo wake mpya unaitwa "Usidanganyike". Video imetayarishwa na director SDK. Angalia video hiyo...
public

New Music: Public ft. Paul Mavoice – Wanabana

Msanii wa muziki Public amechia wimbo wake mpya unaitwa "Wanabana" akiwa amemshirikisha Paul Mavoice. Wimbo umetayarishwa na producer Negro. Sikiliza wimbo huo na utoe maoni...
sharo music

New Music: Sharo Music – Bado

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Sharo Music ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Bado". Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na producer Lummie...
siti

New Music: Siti & The Band – Nielewe

Wimbo mpya kutoka kwa kikundi cha muziki cha Siti and the Band chenye makao yake visiwani Zanzibar, wimbo unaitwa "Nielewe". Wimbo umetayarishwa na producer...
mass

New Music: Mass – Maarifa

Wimbo mpya kutoka kwa mtayarishaji wa muziki na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Mass na wimbo unaitwa "Maarifa". Wimbo umetayarishwa na producer Mass. Sikiliza...
lord-music

New Music: Lord Music & Desmond – Benua

Wimbo mpya kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya kwa majina ya Lord Music na Desmond, jina la wimbo unaitwa "Benua". Wimbo umetayarishwa...
a-boyz

New Music: A Boyz ft. Sam Limbu – Nani kama Wewe

Wimbo mpya wa injili kutoka kundi la muziki wa kizazi kipya, A Boyz wimbo unaitwa "Nani Kama Wewe" wakiwa wamemshirikisha Sam Limbu. Sikiliza wimbo huo...
smile

New Music: Smile – Fuku Fuku

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Smile The Genius unaitwa "Fuku Fuku". Wimbo umetayarishwa na producer Fleva Noma na Bonga. Sikiliza...
zuhura

New Music: Zuhura – Mputa Mputa

Wimbo mpya kutoka kwa mwanadada Zuhura unaitwa "Mputa Mputa". Wimbo umetayarishwa na producer Pinno. Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.  
Kerry

New Music: Kerry – Mwenza Wangu

Wimbo mpya kutoka kwa msanii Kerry unaitwa "Mwenza wangu". Wimbo umetayarishwa na Pinno. Sikiliza wimbohuo na utoe maoni yako.  

Follow Us

2,283FansLike
1,113FollowersFollow
106FollowersFollow
486SubscribersSubscribe
Advertisement