28 C
Zanzibar
Wednesday, February 20, 2019
ferouz

New Music: Ferouz – Nimejifunza

Baada ya ukimya wa muda mrefu, Ferouz amerejea tena na wimbo mpya ‘Nimejifunza.’  Ferouz amesema wimbo huu unazungumzia alichojifunza wakati alipopata matatizo na kuwabaini...
spider

Music: Unamkumbuka Spider wa Mambo Poa? Baada ya kukaa kimya kirefu, amerudi na wimbo...

Baada ya kukaa kimya cha miaka kadhaa, msanii aliyeunda kundi la Mambo Poa Spider ameuvunja ukimya wake kwenye muziki na sasa ameachia wimbo wake...
dogo

Music: Dogo Janja Janjaro – My Life

Hii ni mpya kutoka kwa Staa wa bongo fleva kutokea kundi Tiptop connection pia mmiliki wa mdundo wa ‘Ya moyoni’ Dogo janja, leo anayofuraha...
wiz d

Music: Wiz D – Down Low

Wimbo mpya wa Wiz D kutokea visiwani Zanzibar. wimbo umefanywa katika studio za Mandevu chini ya usimamizi wa Producer Buju na Lummie.
mtandaoni

Sikiliza nyimbo 11 zilizofungua mwaka 2016 kwa upande wa Zanzibar

Hivi Ulipitwa na baadhi ya nyimbo mpya za wasani kutokea Zanzibar? Zenji255 imeamua kukusogezea mizigo yote ambayo iliyofanyika katika studio mbali mbali kutoka Zanzibar. http://www.audiomack.com/song/zenji255/jiachie http://www.audiomack.com/song/zenji255/kitu-bolite http://www.audiomack.com/song/zenji255/dedication http://www.audiomack.com/song/man-tuzzo/furaha-yangu http://www.audiomack.com/song/zenji255/taire http://www.audiomack.com/song/zenji255/my-yori-yori http://www.audiomack.com/song/zenji255/we-ndio-hakimu http://www.audiomack.com/song/zenji255/sihitaji-nilie http://www.audiomack.com/song/zenji255/sina-raha http://www.audiomack.com/song/zenji255/bembeleza http://www.audiomack.com/song/zenji255/nikaushie            
mc

Music: P the MC ft. Jux – Na Mimi

P the MC akiwa ameshirikiana Jux wimbo unaitwa Na mimi. Kazi imetengenezwa na Dully Sykes katika studio yake ya 4.12 (Four Point Twelve). Sikiliza...
roma

New Music: Roma ft. Walter Chilambo – Mtoto wa Kigogo

Roma amerejea na ngoma mpya ‘Mtoto wa Kigogo’ aliyomshirikisha Walter Chilambo. Ni wimbo wake maalum kwa ajili ya mpenzi wake anayetarajia kufunga naye ndoa...
kitu bolite

Music: Kinde Makengele ft. Aloneym – Kitu Bolite

'Kitu Bolite' maana yake ni kitu kikubwa chenye ladha za kutisha ndani yake. Kinde Makengele akiwa ameshirikiana na Aloneym ambaye ndie producer wa wimbo...
rico single

Music: Rico Single- Jiachie

Kutoka katika visiwa vya Zanzibar, Rico SIngle na wimbo wake mpya wa Jiachie akiwa amefanya katika studio za Island. Wimbo umetengenezwa na producer Aloneym...
classmate

Music: Classmate ft. Abramy – Dedication

Classmate msanii anayechipukia kutoka Zanzibar, wimbo wake mpya akiwa amemshikirisha Abramy. Wimbo umetengenezwa katika studio za Mandevu chini ya maproducer wawili Lummie na Buju....
ben pol

Music: Ben Pol & Jux – Nakuchana

Baada ya Nay wa Mitego kuwachana baadhi ya wasanii wa tasnia mbali mbali hapa Tanzania. Ben Pol na Jux waamua wawili hao kuwekana sawa...
temba

Music: Temba Feat. Jokate & Yamoto Band – Fundi

Wimbo mpya wa Temba akiwa amewashirikisha Yamoto Band na mwanadada Jokate (Kidoti), jina la wimbo 'Fundi' uliofanywa chini ya producer Marco Chali katika studio...
ali kiba

Music: Ali Kiba – Lupela

Baada ya wimbo wa “Nagharamia” kutoka kwa Nyota wa muziki wa Bongo fleva maarufu kama Alikiba, hapa tumekuwekea wimbo mpya wa Nyota huyo unaitwa “Lupela”...
mantuzzo

Music: Mantuzzo feat. Barnaba – Furaha yangu

Msanii kutoka kusini mwa Tanzania ambaye anayefanya kazi zake visiwani Zanzibar Mantuzzo, amefungua mwaka kiaina yake na wimbo mpya 'Furaha Yangu' akiwa amemshirikisha Barnaba....
chidi yobo

Music: Chidi Yobo – My Yori Yori

Chidi Yobo ni chipukizi katika muziki wa Zenji / Bongo Fleva ambaye yupo chini ya usimamizi wa GOOD FATHER MUSIC anautambulisha wimbo aliofanya katika...
nassir vanillah

Music: Nassir Vanillah – We Ndo Hakimu

Wimbo wa Nassir Vanillah kwa jina la We ndio Hakimu. Wimbo umefanywa katika studio za Mi8 na mtayarishaji Imami8.
taire

Music: Hemedy feat. Sultan King – Taire

Taire ni wimbo uliotayarishwa na kijana Imami8 katika studio za Minane, Zanzibar. Hemedy ndie msanii wa wimbo huo na amemshirikisha Sultan King. Sikiliza hapa http://www.audiomack.com/song/zenji255/taire  
huzza b

New Music: Huzza B ft. Haule – Take Care

Rapa Huzza B ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Take Care akiwa amemshirikisha Haule. Wimbo umetengenezwa katika studio za Melanin Media na Producer Bonge Jr.  

Follow Us

2,241FansLike
1,119FollowersFollow
103FollowersFollow
373SubscribersSubscribe
Advertisement