New Music: Mass – Ya Habibty
Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa msaani na producer muziki, Mass kutokea Studio ya Carrebean Records. Wimbo unaitwa 'Ya Habibty' umetayarishwa na producer Mass.
Sikiliza hapo...
Kutoka Zanzibar: ulizikosa nyimbo mpya za mwezi Oktoba? Ingia hapa usikilize
Zenji255 inakuletea nyimbo mpya zote ambazo wasanii wa Zanzibar walizoziachia ndani mwezi wa Oktoba endapo utakuwa ulikosa na hujajua wapi pa kuzipata au kusikiliza.
Hizi...
New Music: Pablin Vanilla ft. Kinde Makengele – Umeme
Msanii kutoka Zanzibar Pablin Vanilla kwa mara ya kwanza ameachia wimbo wake mpya 'Umeme' akiwa amemshirikisha Kinde Makengele. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu...
New Music: New Money ft Sultan King Shareezy – Nini Tatizo
Msanii wa muziki 'New Money' amechia wimbo wake mpya 'Nini Tatizo' akiwa amemshirikisha Sultan King na Shareezy. Wimbo umetengenezwa na Producer Aloneym.
New Music: Alpha Da Best – Usidanganyike
Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Alpha Da Best unaitwa "Usidanganyike". Wimbo umetayarishwa katika studio za Mi8 Records na producer Ima Mi8.
Sikiliza wimbo...
Music: Mzoularr – All The Way Up (remix)
Msanii kutoka Zanzibar Mzoularr Ameachia remix ya wimbo wa Fat Joe 'All the Way Up'.
New Music: Hood C ft. Fredrigo – Tuwe Mfano
Rapa Hood C ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Tuwe Mfano' akiwa amemshirikisha Fredrigo. Wimbo umetayarishwa katika studio za Stone Town Records.
Sikiliza Hapa na utoe...
New Music: Mubacriss ft. Smile – Haufanani
Msanii Mubacriss kutoka Zanzibar ameachia wimbo wake mpya 'Haufanani' akiwa amemshirikisha Smile. Wimbo umetayarishwa na Producer Bab Chidy katika studio Island Records Zanzibar.
New Music: Chris Brown – What Would You Do?
A day after his arrest on suspicion of assault with a deadly weapon, Chris Brown gets back to the music. But he’s not singing...
New Music: Alicia Keys – Back to Life
Alicia Keys is taking no days off. In between her new role on “The Voice” and prepping her sixth album for release this fall,...
Music: Laki wa Promise – Birthday Boy
Msanii wa kizazi kipya Laki wa Promise baada ya kuwa kimya cha muda mrefu, amerudi tena na wimbo wake mpya 'Birthday Boy'.
New Music: Sharo Music ft. Honey Ella – Safarini
Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Sharo Music unaitwa 'Safarini' akiwa amemshirikisha Honey Ella. Wimbo umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer...
New Music: Jumaa Town – Kama Noma
Mpambe Jumaa Town anayefanya kazi zake za muziki visiwani Zanzibar ameachia wimbo wake mpya 'Kama Noma' wenye miondoko ya singeli. Wimbo umetengenezwa na Producer...
New Music: Diamond Platnumz – Eneka
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond anaendelea mfululizo wake wa kuachia wimbo baada ya wimbo. Baada ya kuachia wimbo wake mpya 'Eneka' wimbo...
New Music: Side Makaranga – Mtegoni
Msanii wa muziki Side Makaranga ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Mtegoni'. Wimbo umetengenezwa katika studio za Islanda records na producer Aloneym.
Sikiliza hapa
Music: Bow Wow – Use 2 Be My Dawg
Bow Wow kicks off the year by taking on old friends on “Use 2 Be My Dawg.”
Over a trap-inspired instrumental, the Ignorant Shit MC...
New Music: Watatu Fleva – Penzi zigo la roho
Kundi la muziki kutoka visiwani Zanzibar, Watatu Fleva wameachia wimbo wao mpya "Penzi zigo la roho". Wimbo umetayarishwa katika studio za Minane Records chini...
New Music: Buyubaya Mtabiri ft. Hans Lee & Haule – Tabu Tupu
Huu ni moja kati ya nyimbo mbili alizoachia rapa wa muziki kutoka Zanzibar, Buyubaya Mtabiri. Wimbo unaitwa "Tabu Tupu" akiwa amemshirikisha Hans Lee na...
New Music: Billnas ft. Mwana FA – Mazoea
Msanii wa muziki wa hip hop, Billnass ameachia wimbo wake mpya ‘Mazoea’ akiwa amemshirikisha rapper Mwana FA. Wimbo umeandaliwa na producer Mr T Touchez.
New Music: IT ft. Mabawa – Hellow
Msanii wa muziki IT ameachia wimbo wake mpya "Hellow" akiwa amemshirikisha Mabawa. wimbo umetayarishwa katika studio za MK records.
Sikiliza hapa