28 C
Zanzibar
Wednesday, February 20, 2019

New Music: 50 Cent ft. Chris Brown – No Romeo No Juliet

Fresh off their remix to “I’m the Man,” 50 Cent and Chris Brown are back at it with “No Romeo No Juliet,” which they...
harith k

New Music: Harith K – Tika Tika

Msanii Harith K ameachia wimbo mpya 'Tika Tika'. Wimbo umetengenezwa na producer Suma Kopa katika studio ya Melanin Media. Sikiliza hapa na ute maoni...
watatu

New Music: Watatu Fleva – Nini Tena

Kundi jipya la 'Watatu Fleva' linaloundwa na wasanii watatu Wigo, Shebby na Special Fleva wameachia wimbo mpya 'Nini Tena'. Wimbo umetayarishwa katika studio za...
Chidi Yobo

New Music: Chidi Yobo – Asu

Msanii wa Muziki, Chidi Yobo ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Asu'. Wimbo umetayarishw katika studio za Smart Music na producer Flavor Noma. Sikiliza hapa na...

New Music: Hussy – Narudisha

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Hussy, ameachia wimbo wake mpya 'Narudisha'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island Records na...
wiz d

New Music: Wiz D – Million Dollar Love

Wiz D ameachia video ya wimbo wake mpya, Umeiona? Bonyeza hapa kama bado. Na kama tayari ila huna wimbo basi ondoa shaka. Wimbo mpya...
ticky

New Music: Ticky ft. Achily – Yatambe

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Ticky, wimbo unaitwa "Yatambe" akiwa amemshirikisha Achily. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu na...
ali kiba

Music: Ali Kiba – Lupela

Baada ya wimbo wa “Nagharamia” kutoka kwa Nyota wa muziki wa Bongo fleva maarufu kama Alikiba, hapa tumekuwekea wimbo mpya wa Nyota huyo unaitwa “Lupela”...
chidy yobo

New Music: Chidy Yobo – Unadunda

Msanii kutokea lebo ya GoodFather Music 'Chidy Yobo' ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Unadunda'. Wimbo umefanywa na producer Aloneym katika studio za Stone Town...
zanzibar

Kutoka Zanzibar: ulizikosa nyimbo mpya za mwezi Oktoba? Ingia hapa usikilize

Zenji255 inakuletea nyimbo mpya zote ambazo wasanii wa Zanzibar walizoziachia ndani mwezi wa Oktoba endapo utakuwa ulikosa na hujajua wapi pa kuzipata au kusikiliza. Hizi...
haule

New Music: Haule – I’m Feeling Alright

Msanii Haule ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'I am Feeling Alright'. Wimbo umetengenezwa katika studio za Melanin Media na producer Bonge Jr.  
pozi adim

New Music: Pozi Adim – Sawaa

Msanii wa muziki kutoka visiwani Zanzibar, Pozi Adim ameachia wimbo wake mpya 'Sawaa'. Wimbo umetayarishwa na producer Aloneym katika studio ya Island Records Bonyeza Play...
crazy moon

New Music: Crazy Moon ft. Mass – Sio Kesi

Crazy moon ni Rapper anaesimamiwa na Carrebean Music wimbo wake wa kwanza unatambulika kwa jina la WASHA na huu ndo ujio wake mpya ikiwa...
nevada mc

New Music: Nevada MC ft. Becka Title – Tulia Tuli

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nevada MC ameachia wimbo wake mpya unaitwa "Tulia Tuli" akiwa amemshirikisha Becka Title. Wimbo umetayarishwa katika studio za...
spider

Music: Unamkumbuka Spider wa Mambo Poa? Baada ya kukaa kimya kirefu, amerudi na wimbo...

Baada ya kukaa kimya cha miaka kadhaa, msanii aliyeunda kundi la Mambo Poa Spider ameuvunja ukimya wake kwenye muziki na sasa ameachia wimbo wake...
swahili

New Music: Swahili Ally – Mwanamuranda

Swahili Ally ni msanii wa aina yake kutoka Tanga anayechanganya ladha za asili za Digo. Wimbo mpya wa Swahili Ally unaitwa 'Mwanamuranda'.  
salome

Music: Smile & Abramy – Salome (Cover)

Wasani wa kizazi kipya Smile na Abramy wafanya cover ya wimbo wa Diamond Platnumz alioshirikiana na Rayvanny 'Salome'. Sikiliza hapa  
linex

New Music: Linex – Kiherehere

Msanii Linex Sunday ameufungua mwaka 2017 kiupande wake kwa kuachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Kiherehere'. Wimbo umetayarishwa na producer Mr T. Touchez. Sikiliza hapa  
lightness

New Music: Lightness – Sina Raha

Mwanadada Lightness ameachia wimbo wake unaoitwa 'Sina Raha'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Action Music chini ya producer Chilly K. Sikiliza hapa na utoe maoni...
barry junior

New Music: Barry Junior – Doro

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barry Junior, ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Doro'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Makonela na producer Amos. Sikiliza wimbo...

Follow Us

2,241FansLike
1,119FollowersFollow
103FollowersFollow
373SubscribersSubscribe
Advertisement