25 C
Zanzibar, TZ
Saturday, May 26, 2018
mzoularr

New Music: Mzoularr – Hot N*gga

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mzoularr ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Hot Nigga'. Wimbo umetayarishwa na DJ Walid kutoka Stone Town Records. Sikiliza wimbo...
wiz d

New Music: Wiz D – Million Dollar Love

Wiz D ameachia video ya wimbo wake mpya, Umeiona? Bonyeza hapa kama bado. Na kama tayari ila huna wimbo basi ondoa shaka. Wimbo mpya...
faay baby

New Music: Faay Baby – Nawachana

Mwanadada wa muziki wa kizazi kipya, Faay Baby ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Nawachana'. Wimbo umetayarishwa na producer Chilly K, Fleva Noma na John...

New Music: Mnally ft. Dogo Ziro – Kiki

Kama bado hujaiona video yake, bonyeza hapa. Huu hapa ni wimbo wa msanii wa muziki Mnally akiwa amemshirikisha Dogo Ziro wimbo unaitwa 'Kiki'. Wimbo...
the brain

New Music: The Brain – Zenji Fleva

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki The Brain unaitwa 'Zenji Fleva'. Wimbo umetayarishwa na producer Kaisal kutokea studio za Kaisal Music. Sikiliza hapo chini...
kijukuu

New Music: Kijukuu ft. Ngumbe Star – Umeniweza

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Kijukuu akiwa amemshirikisha Ngumbe Star unaitwa 'Umeniweza'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer Bonge...

New Music: Fany – Nimerogwa

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Fany unaitwa 'Nimerogwa'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Jupiter Records na producer Bonge Jr. Sikiliza hapo chini na...
hammer q

New Music: Hammer Q – Kizungumkuti

Msanii wa muziki Hammer Q ameachia wimbo mpya unaitwa 'Kizungumkuti'. Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako  
ison mistari

New Music: Ison Mistari ft. Reallionare – No place like home

Kutoka lebo ya Stone Town Records wimbo mpya kutoka kwa Ison Mistari akiwa amemshirikisha rapa kutoka Marekani, Reallionare Jream. Wimbo unaitwa 'No place like...
amini

New Music: Amini – Sijui

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Amini unaitwa 'Sijui'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Epic Records na producer Chalz Clinton. Sikiliza hapo chini na...
mass

New Music: Mass – Ya Habibty

Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa msaani na producer muziki, Mass kutokea Studio ya Carrebean Records. Wimbo unaitwa 'Ya Habibty' umetayarishwa na producer Mass. Sikiliza  hapo...
barry junior

New Music: Barry Junior – Doro

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barry Junior, ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Doro'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Makonela na producer Amos. Sikiliza wimbo...
no test

New Music: No Test – Ahadi

Kutoka lebo ya Mandevu Records, msanii No Test ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Ahadi'. Wimbo umetayarishwa na producer Buju na Lummie. Sikiliza hapa na utoe...
smile

New Music: Smile The Genius – Sare Sare

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Smile The genius, ameachia wimbo wake mpya unaitwa'Sare Sare'. Wimbo umetayarishwa na Producer Bunny Music. Sikiliza hapo chini na...
mabawa

New Music: Alatish Mabawa – Barua

Huu hapa mwingine ni wimbo mpya kutoka kwa Alatish Mabawa unaitwa 'Barua'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Akhenaton Records na producer Lil Ghetto. Sikiliza hapo...
sultan king

New Music: Sultan King ft. Msafiri Dioff – Fire Fire

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Sultan King ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Fire Fire' akiwa amemshirikisha mwanamuziki nguli Msafiri dioff. Wimbo umetayarishwa na...
new money

New Music: New Money ft. Shirko & Berry Black – Mr. Camera Man

Wimbo mpya kutoka kwa New Money unaitwa "Mr. Camera Man" akiwa amemshirikisha Shirko na Berry Black. Wimbo umetayarishwa katika studio za Vibes Records na...
shamy boy

New Music: Shamy Boy ft. Ison Mistari – Kanipa

Rapa kutokea lebo ya Stone Town Records, Shamy Boy ameachia wimbo wake unaitwa "Kanipa" akiwa amemshirikisha Ison Mistari. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island...
hood c

New Music: Hood C ft. Fredrigo – Tuwe Mfano

Rapa Hood C ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Tuwe Mfano' akiwa amemshirikisha Fredrigo. Wimbo umetayarishwa katika studio za Stone Town Records. Sikiliza Hapa na utoe...
Kinde Makengele

New Music: Kinde Makengele – Ukweli Wangu

Mwanamuziki Kinde Makengele ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Ukweli Wangu'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na Producer Buju na Lummie. Sikiliza hapa na...
Advertisement