33 C
Zanzibar
Friday, April 26, 2019
sean kingstone

Sean Kingston ametangaza kufilisika na kwamba kwa sasa anaishi na mama yake

Hit Maker wa “Beautiful Girls” Sean Kingston ametangaza kufilisika kimuziki na maisha yake na kwamba kwa sasa anaishi na mama yake. Sean Kingston ametoa kauli hii baada ya...
BET

BET wataja list ya wasanii watakaotoa burudani siku ya tuzo hizo

Ikiwa imebakia siku kadhaa kuendea katika ugawaji wa tuzo za BET, imewataja wasanii watakaopanda katika steji siku ya tuzo ambapo akiwepo msanii kutoka Afrika...
diamond

Ujumbe mfupi wa Diamond aliomwandikia Zari

Familia ya Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz inapitia kipindi kigumu kwa sasa baada ya kifo cha aliyekuwa Ex wa Zari, Ivan ambapo imemfanya Diamond...
iggy azalea

Iggy Azalea akanusha skendo ya kutoka na Odell Beckham Jr.

Rapa wa kike ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Iggy Azalea amekanusha skendo inayomhusu yeye kutoka kimapenzi na aliyekuwa mchezaji wa mchezo aina American...
tupac

A&E kuonyesha documentary za B.I.G na Tupac Shakur June 28

Kwa mara ya kwanza baada ya kupata kibali, makala zinazowahusu rapa wawili kutokea Marekani wa Notorious B.I.G na Tupac ambayo itaanza kuonyeshwa rasmi mwezi...
zari

Aliyekuwa mume wa Zari afariki dunia

Aliyekuwa mzazi mwenzake na Zari The Boss lady, Ivan Ssemwanga amefariki dunia katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya moyo. Ivan...

“Tofauti zetu na I.T zinaishia ukingoni” – Buyu Baya Mtabiri

Rapa kutoka visiwani Zanzibar Buyu Baya Mtabiri alisema alishawahi kuwa na tofaut na Msanii mwenzake I.T na chanzo cha ishuu hiyo baada ya I.T...
chege

Chege azungumza baada ya kuzushiwa kifo mitandaoni

Mwanamuziki Chege Chigunda anae tamba na wimbo wa kelele cha chura, amezungumza baada kutoka taarifa ya kuzushiwa ambaza sio sahihi kwa mujibu wa muhusika...
sauti za busara

Huu hapa ni wito kwa wasanii katika tamasha la Sauti za Busara 2018

Tamasha la 15 la Sauti za Busara, ni moja kati ya matamasha bora Afrika, litafanyika tena Mji Mkongwe, Zanzibar kuanzia tarehe 8 – 11...
swahili festival

Wasanii wa Zenji & Bongo Fleva 30, Wanamitindo 10 katika jukwaa moja la Zanzibar...

Tamasha la awamu ya kwanza la Zanzibar Swahili Festival limeorodhesa list ya wasanii wa muziki na wanamitindo ambao watakaotumbuiza na kuonyesha mavazi yao katika...
baby j

“Imefikia wakati sasa wasanii wakongwe wa Zanzibar tuwasaidie vijana wapya mbinu za muziki” –...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Baby J amewaomba wasanii wakongwe katika tasnia mbali mbali ya sanaa visiwani Zanzibar kuwa wamoja na kuwasaidia vijana...
Sultan king

Sultan King, Chidy Grenade watembelea studio za Wasafi

Wasanii wa muziki kutokea visiwani Zanzibar, Sultan King na Chidy Grenade hivi karibuni wameonekana wakiwa picha ya pamoja na Diamond Platnumz katika studio za...
baby j

Baby J kuzindua Foundation yake ya kuwasaidia wasanii wa muziki Zanzibar

Msanii wa muziki kutoka Zanzibar Baby J Machi 18 anatarajia kufanya party maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa Foundation yake mpya ambayo itakuwa inajihusisha...
zenji255

Taarifa rasmi kwa wasomaji wetu wa zenji255.com

Habari zenu mabibi na mabwana? Kwanza, tunapenda kumshukuru mungu muweza wa kila kitu kwa kuweza kujaalia mtandao huu wa zenji255.com kurudi katikia hali yake...
zfu

Hii hapa ni mipango mipya ya ZFU juu ya wanachama wake

Uongozi wa Chama cha Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Zanzibar (ZFU) unafikiria kuandaa mipango maalum ambayo itakayoweza kuwasaidia wasanii na wanachama wake kwa...
chidy

Hii hapa ni ‘suprise’ nyingine kutoka kwa Chidy Grenade ambayo huenda ikaachiwa karibuni

Wiki kadhaa zilizopita Zenji255 ilishawahi toa maoni juu ya wasanii chipukizi ambao watakaofanya vizuri kwa mwaka 2017 na kuweza kuutangaza muziki mbali zaidi, Chidy...
pozi adim

Pozi Adim kuufungua mwaka na collabo mpya na Sultan King

Baada ya kimya kirefu ambacho alichokuwa akijiweka sawa, msanii wa muziki Pozi Adim jumatatu ijayo anatarajia kuachia wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha Sultan King. Pozi...
lady gaga

Lady Gaga kuichukua nafasi ya Beyonce onyesho la Coachella

Tamasha la Coachella ambalo linaingiza fedha nyingi zaidi duniani linalofanyika kila mwaka nchini Marekani, baada ya mwanamuziki Beyonce kusitisha onyesho lake katika tamasha hilo...
Ison

Hizi hapa ni sera 3 endapo Ison Mistari atapewa nafasi ya kugombania urais

Kila binadamu huwa na ndoto kubwa zinazoweza kusaidia kuleta mafanikio kwa njia moja ama nyingine ili kuweza kujikwamua na umaskini. Kwa rapa Ison Mistari...
tupac

BMW aliyouliwa kwa risasi Tupac yauzwa zaidi ya shilingi bilioni 3

Gari ambayo aliyopigwa risasi rapa Tupac Shakur akiwa ndani sasa ipo mnadani na kuuzwa kwa dola milioni 1.5. Gari hiyo ya BMW 1996 750iL iliyoweka...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
424SubscribersSubscribe
Advertisement