33 C
Zanzibar
Friday, April 26, 2019
diamond

Alichokiandika Diamond kwa Mashabiki wake

Star wa Bongo fleva na mmiliki wa hit song ya ‘Utanipenda’ Diamond Platnumz asema habari mpya na kama wewe ni shabiki wake basi soma...
Drake

Stori 2: Drake hatotumbuiza Tuzo za Grammy na Rihanna kuja Afrika Mashariki, June

Drake hatotumbuiza katika tuzo za Grammy, Marekani Onyesho kubwa la utoaji tuzo lenye kuhusisha mastaa mbalimbali wa filamu na muziki huko marekani la Grammy, kwa...
shilole

Nuh Mziwanda asema Shilole anamfanyia fitna ashuke kimziki

Baada ya kuvunjika kwa mahusiano yao aliyekuwa mpenzi wa SHILOLE, Nuhu Mziwanda amesema Ex wake huyo anamfanyia fitna ili kumshusha kwa kumharibia kisanaa.Mziwanda amesema...
fid q

Fahamu: Sababu ya Fid Q kuandika verse fupi katika WALK IT OFF

Baba lao FARID KUBANDA ,FID Q amesema sababu iliyofanya kuchana verses fupi fupi kwenye ngoma yake mpya #walkitoff ni kwasababu alitaka mashabiki wainjoy zaidi...
ali kiba

Adam Juma ameyaandika haya baada ya kuitazama video mpya ya Ali kiba ‘Lupela’

Siku moja baada ya staa wa bongofleva Ali kiba kuiachia video ya ngoma yake ‘Lupela‘, leo Director wa long time Tanzania Adam Juma ameyatoa yake...

Six Records yatoa ofa kwa wasanii chipukizi

Baada ya kukaa kimya na kujipanga upya kwa kipindi kirefu, studio inayopatikana pande za Mwera Six Records chini ya usimamizi wa producer Side2the Lee,...

Meek Mill ahukumiwa miezi 3 kifungo cha ndani ya nyumba

Meek Mill hatoenda jela lakini hatokuwa huru pia. Siku ya Ijumaa (Feb 5) hakimu aliyesimamia kesi ya rapa huyo kutokea Philadelphia aliamuru atumikie kifungo...
rose ndauka

Rose Ndauka Azindua Jarida lake ‘Rozzie’

Na Dotto Mwaibale MSANII wa filamu Tanzania, Rose Ndauka  amezindua jarida  jipya liitwayo Rozzie litakalotoka  mara moja kwa kila mwezi. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi,...
Diamond

Diamond ashinda tuzo nyingine

Mmiliki wa hit song ya ‘Utanipenda‘ Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za...
Drake

Drake kuachia albamu yake mwezi April

katika kipindi cha Saturday's episode katIka Radio ya OVO Sound Radio, Drake atangaza mwezi wa April kuachia albamu yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu...
Khalifa

Wiz khalifa amtishia maisha Kanye West

Wakati Wiz Khalifa akiwa katika ukimya usiojulikana, na huku upande mwingine Kanye West akiwa anajitetea katika mtandao wa Twitter kuyajibu maneno makali yanayotoka kwa...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
424SubscribersSubscribe
Advertisement