29.5 C
Zanzibar
Thursday, April 25, 2019

Forbes wataja orodha ya wasanii wanaoingiza pesa kwa mwaka 2017

Mtandao mkubwa duniani wa kuangalia watu maarufu duniani forbes imetoa orodha ya wasani wanao ingiza mkwanja mrefu duniani kwa mwaka 2017. Zenji255 imekuekea orodha hiyo...
ZFU

Laki wa Promise ateuliwa kuwa rais wa chama cha wasanii wa muziki Zanzibar (ZFU)

Jumapili ya Septemba 10 viongozi na wanachama wa chama cha wasanii wa muziki wa kipya (ZFU) walifanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wao wapya kwa...
mantuzzo

Mantuzzo azungumzia kuhusu ukimya wake na ujio wake mpya

Kwa muda mrefu msanii Mantuzzo ameonekana kuwa kimya katika sanaa yake ya muziki, na vile vile amezungumzia kuhusiana na ujio wake mpya baada ya...
man chado

Man Chado kuja na ‘Kwa ajili ya wana’ akiwa na Juma Nature

Rapa wa muziki aliyekaa kimya kwa muda mrefu kutokea kundi la Murder Squad, Man Chado maarufu alikuwa akijulikana kama Chadogi. Anatarajia kuachia wimbo wake...
zari

Zari The Bosslady afiwa na mama yake mzazi

Mama mzazi wa Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi na mzazi mwenza wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amefariki dunia asubuhi hii baada...
HK

“Bonge sijazinguana nae ila utaratibu wa kikazi ndio uliomsimamisha kufanya kazi nasi” – HK

Meneja wa Good father Music, Khamis HK amekanusha juu ya kauli zinazosambazwa kati yake na mtayarishaji wa muziki aliyekuwa akifanya kazi chini ya studio...
smile

Smile na Sultan King kulimaliza bifu lao kwenye ‘Toriro’ Jumatatu hii

Heshima ya muziki wa zanzibar unazidi kupewa nguvu baada ya wasanii wawili kusemekana walikuwa hawakai zizi moja kutokana na uhasama waliokuwa nao watu hao...
kassim mganga

Ukaribu wa Kassim Mganga na Baby J wawatia hofu mashabiki

Mkali kutokea Tanga, Kassim Mganga ameingia katika vichwa vya habari katika mitandao baada ya kuwa muonekano mpya kwenye ndevu zake kuwa nyeupe na vile...
beyonce

Majina ya mapacha wa Jay Z na Beyonce yawekwa hadharani

Mtandao wa TMZ umeripoti kupatikana kwa majina ya watoto mapacha wa Beyonce na JAY-Z. kwa mujibu wa TMZ Watoto hawa wamepewa majina Rumi Carter Na...
chaby six

Chaby Six Afiwa na Baba yake mzazi

Baba mzazi wa rapa kutoka visiwani Zanzibar Chaby Six Mashine, Mzee Mshimba, amefariki dunia Ijumaa hii. Akitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake Facebook, Chaby Six...
nassir vanillah

Hali ya Nassir Vanillah yaendelea vizuri Hospitali

Msanii wa muziki kutoka visiwani Zanzibar hivi karibuni ameonekana kuwa katika hali mbaya baada ya kulazwa katika hospitali ya KMKM akisumbuliwa na pumu. Lakini katika...
prodigy

Rapper mkali kutokea marekani Prodigy amefariki dunia

Rapper kutoka kundi la muziki wa Hip Hop Marekani, Mobb Deep, Prodigy amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 42. Imedaiwa kuwa mkali huyo alikuwa...
akothee

“Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Kenya” – Akothee

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee ameingia kwenye list ya wasanii ambao wanatamani urais ambapo amesema ndoto yake ni kugombea urais Kenya ili kuleta...
choka

DJ Choka Ampa shavu Mwana FA

Dj Choka ameelezea jinsi msanii wa hip hop, Mwana FA alivyokuwa msaada kwake mara baada ya hali yake kiafya kubadilika walipokuwa safarini wakitokea mkoani...

Mrithi mwingine wa Tupac ajitokeza

Tupac Shakur amefariki miaka 21 iliyopita, angekuwa hai basi June 16,2017 angetimiza miaka 46 duniani, filamu mpya kuhusu maisha yake All Eyez On Me iliyotoka wiki hii...
dj khaled

‘Sina Bifu na Birdman pamoja na Cash Money’ – DJ Khaled

Baada ya Rick Ross kusema kwenye wimbo wake wa “Idols Become Rivals” kuwa Birdman amemsababishia maumivu sana Dj Khaled na kumtapeli pesa zake Dj Khaled maarufu sana...
beyonce

TMZ na The People yatoa taarifa ya Beyonce kujifungua watoto mapacha

Tovuti ya TMZ imeripoti mapema leo kuwa Beyonce na Jay Z wamepata watoto mapacha. Hii imekuwa stori kubwa wiki nzima huku mashabiki wakisubiri lini Beyonce atajifungua. Watoto hao wawili wa The Carters wamezaliwa...
diddy

P. Diddy achora tattoo mpya kwenye mgongo wake

Mmoja kati ya mfanya biashara maarufu Duniani ambaye hivi karibuni ametajwa kuwa mtu maarufu aliyetengeneza pesa nyingi zaidi mwaka huu kwa mujibu wa Forbes, P...
davido

Davido awapa teaser ya wimbo wake mashabiki kupitia Instagram

Licha ya kuwa kimya kwa kipindi kadhaa msanii kutoka Nigeria Davido sasa hivi ameamua hakuna kupumzika ni wimbo juu ya wimbo. Hivi karibuni Davido ameonekana...
forbes

Forbes imetoa majina 100 ya watu maarufu waliolipwa zaidi mwaka 2017, #World100HighestPaidCeleb

Sean ‘Diddy’ Combs ametajwa na Forbes kuwa mtu maarufu aliyelipwa zaidi mwaka 2017 akiwa ametengeneza dola za kimarekani milioni $130 kutoka June 1, 2016, mpaka June 1, 2017. Forbes inasema kuwa mkwanja wa Diddy umetokana...

Follow Us

2,253FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
423SubscribersSubscribe
Advertisement