28 C
Zanzibar
Wednesday, January 16, 2019
mabawa

Exclusive: Wari wengi wa sasa ndoa zao hazidumu muda mrefu – Alatish Mabawa

Msanii Alatish Mabawa baada ya kuachia wimbo wake mpya 'Wari wa leo' aliomshirikisha Khadija Kopa azungumzia sababu ya kuupa jina la wimbo huo ni...
Drake

Drake kuachia albamu yake mwezi April

katika kipindi cha Saturday's episode katIka Radio ya OVO Sound Radio, Drake atangaza mwezi wa April kuachia albamu yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu...

“Tofauti zetu na I.T zinaishia ukingoni” – Buyu Baya Mtabiri

Rapa kutoka visiwani Zanzibar Buyu Baya Mtabiri alisema alishawahi kuwa na tofaut na Msanii mwenzake I.T na chanzo cha ishuu hiyo baada ya I.T...
buju

Picha: Producer wa Mandevu Records, Buju afunga ndoa

Producer wa Mandevu Records, Buju ameisaliti kambi ya mabachelor mastaa wa visiwani Zanzibar kwa kufunga ndoa jana Ijumaa Oktoba 29. Zenji255 inawapongeza Producer buju na...
baby j

Baby J kuzindua Foundation yake ya kuwasaidia wasanii wa muziki Zanzibar

Msanii wa muziki kutoka Zanzibar Baby J Machi 18 anatarajia kufanya party maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa Foundation yake mpya ambayo itakuwa inajihusisha...
triple m

‘Q Chillah angenifunika, wimbo nisingeupeleka radio’ – Triple M

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar Mansour Malik 'Triple M', amesema katika wimbo wake aliomshirikisha Q Chillah 'Tobo la Pili' asingeupeleka radio kutokana...
tausi

Meneja wa Sultan King aongea kuhusiana na kuchelewa kwa wimbo wake

Meneja wa msanii Sultan King, mwanadada Tausi aongea kuhusiana na sababu zilizofanya kuchelewa kwa kuachiwa wimbo wa msanii huyo zilitokana na kutokuwa na maelewano...
nassir vanillah

Nassir Vanillah asema ndoa sio sababu ya msanii kushuka kimziki

Wiki kadhaa zilizopita msanii Nassir Vanillah aliamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi aitwae Fatma na kuwafanya mashabiki wake wakijiuliza kuwa muziki...
zantel

Zantel yakabidhi Computer 21 kwa vyuo vya walimu Zanzibar (+Picha)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania Benoit Janin, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu...
chipukizi

Best of Zenji255: 5 Bora ya Msanii Chipukizi wa mwaka 2016 (Awamu ya 1)

Mchujo wa awamu ya kwanza kupitia kipengele cha Msanii Chipukizi bora ya Kali za Zenji255 ni huu hapa ambapo wasanii chipukizi watano walioongoza kwa...
nassir vanillah

Hali ya Nassir Vanillah yaendelea vizuri Hospitali

Msanii wa muziki kutoka visiwani Zanzibar hivi karibuni ameonekana kuwa katika hali mbaya baada ya kulazwa katika hospitali ya KMKM akisumbuliwa na pumu. Lakini katika...
j combat

Baada ya kutolewa kwenye Dance100%, Kundi la ‘J Combat’ lapewa nafasi nyingine

Kundi la J Combat kutoka Zanzibar lililoshiriki Dance100% 2016 hadi nafasi ya nusu fainali na kutolewa, limerejeshwa baada ya kubainika kuwa lilishindwa kutokana na...
kali za zenji255

Best of Zenji255: 5 Bora ya Msanii bora (Awamu ya 1)

Mchujo wa awamu ya kwanza kupitia kipengele cha msanii bora ya Kali za Zenji255 ni huu hapa ambapo wasanii tano walioongoza kwa kura nyingi...
chidy

Msanii Chidy Yobo kufuata nyayo za Pozi Adimu

  Msanii chipukizi kutokea visiwani Zanzibar ambae anafanya vizuri kwa sasa, kwenye Radio na Televishen za visiwani humo, ameamua kufuata nyayo za Msanii mkongwe na...
lumi

Lumi aiomba serikali ipiganie vituo vya redio kucheza muziki wa Zanzibar kwa 90%

Mtayarishaji kutoka studio za Mandevu, Lumi ameiomba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ipiganie katika kusimamia kazi za wasanii wa Zanzibar kuchezwa katika vituo vya...
prodigy

Rapper mkali kutokea marekani Prodigy amefariki dunia

Rapper kutoka kundi la muziki wa Hip Hop Marekani, Mobb Deep, Prodigy amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 42. Imedaiwa kuwa mkali huyo alikuwa...
drake

Drake, Rihanna Justine Bieber washinda tuzo za American Music Awards. Orodha ya washindi ipo...

Tuzo za awamu ya 44 za American Music Awards zilizofanyika Novemba 20 katika ukumbi wa Microsoft Theater mjini Los Angeles nchini Marekani. Tuzo hizo zilizoshirikisha...

Forbes wataja orodha ya wasanii wanaoingiza pesa kwa mwaka 2017

Mtandao mkubwa duniani wa kuangalia watu maarufu duniani forbes imetoa orodha ya wasani wanao ingiza mkwanja mrefu duniani kwa mwaka 2017. Zenji255 imekuekea orodha hiyo...
said fella

Said Fella asema ana ndoto za kugombania urais 2040

Meneja wa kundi la kukuza vipaji la Mkubwa na Wanawe, Said Fella amesema ana ndoto za kugombania uraisi ifikapo 2040. Akiongea na Zenji255 Fella amesema...
wise boy

Wise Boy kuachia ‘Usiniumize’ Alhamis hii

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wise boy amesema anajiweka sawa kuachia wimbo wake mpya 'Usiniumize' Alhamis Novemba 17. Akizungumza na Zenji255 Wise  Boy amesema...

Follow Us

2,239FansLike
1,120FollowersFollow
103FollowersFollow
331SubscribersSubscribe
Advertisement