28 C
Zanzibar
Wednesday, January 16, 2019

Six Records yatoa ofa kwa wasanii chipukizi

Baada ya kukaa kimya na kujipanga upya kwa kipindi kirefu, studio inayopatikana pande za Mwera Six Records chini ya usimamizi wa producer Side2the Lee,...
jay dee

Jay Dee amtaja director aliyesimamia video yake ya ‘Ndi ndi ndi’

Lady Jaydee ameweka hadharani kuwa Justin Campos ndiye aliyeongoza video ya wimbo wake mpya, ā€˜Ndindindi.ā€™ Staa huyo amepost video Instagram inayomuonesha Justin akiwa na mke...
good father

Uongozi na wasanii wa Good Father Music watua Baraza la Wawakilishi kusikiliza makadirio...

Uongozi wa Good Father Music na wasanii wake wametua ndani ya Baraza ya Wawakilishi Zanzibar wiki hii kwa ajili ya kusikiliza randama ya makadirio...
chiwile

Mfahamu meneja mwajiriwa wa Zee Town Sojaz, Issa Chiwile Jr.

Katika sekta nyingi za muziki wasanii wengi hupenda kuwatafuta mameneja wenye pesa zao ili waweze kufanikisha kile kinachoweza kuusukuma muziki wake kupitia nguvu za...
rama

‘Wasanii wa Zanzibar wafanye muziki ambao ni chimbuko kutoka Zanzibar’ – Rama B

Mtangazaji na mkongwe wa katika tasnia ya muziki wa Hip Hop Zanzibar Rama B amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi kutoka Zanzibar bado hawajajitambua...

Picha: Alfa afunga ndoa ya siri

Mambo hadharani sasa, msanii na mtangazaji wa TV visiwani Zanzibar, Alfa wa Melody hapo jana imethibitika kuwa amefunga ndoa ya siri na picha za...
mubacriss

Mubacriss azungumzia kuhusiana na serikali kuibua vipaji vya muziki mashuleni

Hitmaker wa wimbo wa mapenzi mkoleni, Mubacriss amesema kuwa amependa maazimio yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud kushirikiana...
kali za zenji255

Best of Zenji255: 5 bora za Video bora ya mwaka 2016 (Awamu ya 1)

Mchujo wa awamu ya kwanza kupitia Kali za Zenji255 ni huu hapa ambapo wasanii watano walioongoza kwa kura nyingi na kufanikiwa kupita katika kipengele...
Khamis HK

Khamis HK azungumzia project zinazokuja baada ya uzinduzi wa filamu ya ‘The Dream’

Meneja wa lebo ya Goodfather Music, Khamis HK amesema kwa sasa hivi wanajiandaa kuzindua filamu mpya iitwayo 'The Dream' na baada ya hapo kuna...
chibby k

Chibby K Solja ndio mfalme wa Run The Beat Freestyle Battle

Mshiriki Chibby K Solja Jumapili usiku aliibuka mshindi wa jumla wa mitindo huru 'FreeStyle' katika mpambano mkali na wa kuvutia uliokuwa ukiendeshwa na kipindi...
iggy azalea

Iggy Azalea akanusha skendo ya kutoka na Odell Beckham Jr.

Rapa wa kike ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Iggy Azalea amekanusha skendo inayomhusu yeye kutoka kimapenzi na aliyekuwa mchezaji wa mchezo aina American...
Tuzo

Video: AT ashinda tuzo 2 za MAM Awards nchini Marekani

Msanii wa muziki wa miondoko ya miduara Ally Tall a.k.a AT, mnamo Jumapili Novemba 12 ameshinda tuzo 2 za Music and Movies Awards (MAM...
tuzo za grammy

Orodha ya Washindi wa tuzo za Grammy

Tuzo za awamu ya 58 za Grammy zilizofanyika siku ya Jumatatu zilikuwa zikisubiriwa kwa hamu duniani kote. Nchini Marekani katika jiji Los Angeles, wasanii...
chidy

Msanii Chidy Yobo kufuata nyayo za Pozi Adimu

  Msanii chipukizi kutokea visiwani Zanzibar ambae anafanya vizuri kwa sasa, kwenye Radio na Televishen za visiwani humo, ameamua kufuata nyayo za Msanii mkongwe na...
fani

Fani Baby achora tattoo mpya

Msanii kutoka Zanzibar anayetamba na wimbo wake mpya wa I love you, Fani Baby kupitia mitandao ya kijamii ameonyesha tattoo yake mpya aliyochoroa katika...
smile

‘Diamond kwangu mimi ni kama mdogo wake kwa Zanzibar’ – Smile

Msanii wa muziki wa kizazi kutoka Zanzibar Smile 'The genious' amefunguka kuhusiana na mahusiano yake na Diamond Platnumz baada ya kuonekana kupost picha akiwa...
mabawa

Exclusive: Wari wengi wa sasa ndoa zao hazidumu muda mrefu – Alatish Mabawa

Msanii Alatish Mabawa baada ya kuachia wimbo wake mpya 'Wari wa leo' aliomshirikisha Khadija Kopa azungumzia sababu ya kuupa jina la wimbo huo ni...
khamis HK

‘Mimi huwa nafurahia sana ninapowasimamia vijana kwenye muziki hata kama sipati faida’ – Khamis...

Kuna watu wengi wanajaribu kuwasimamia wasanii lakini wanaishia njiani kutokana kusema hakuna faida katika muziki wa Zanzibar. Zenji255 ilizungumza na Meneja kijana kutoka Zanzibar Khamis...
lady jaydee

Uongozi wa Lady Jaydee wamaliza bifu na Clouds Media na kuruhusu nyimbo zake kuchezwa

Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho!! Kwa takriban ya miaka minne ya kuekeana mipaka mikubwa kati ya Mwanadada Lady Jaydee na Clouds Media...
young killer

Young Killer amsusia meneja wake Monagangster fedha za malipo yake

Msanii wa hip hop nchini Young Killer amezungumzia 'bifu' kati yake na aliyekuwa meneja wake Monagangster na kusema kuwa hataki tena kufuatilia malipo katika...

Follow Us

2,239FansLike
1,120FollowersFollow
103FollowersFollow
331SubscribersSubscribe
Advertisement