25 C
Zanzibar, TZ
Friday, November 24, 2017
Tuzo

Video: AT ashinda tuzo 2 za MAM Awards nchini Marekani

Msanii wa muziki wa miondoko ya miduara Ally Tall a.k.a AT, mnamo Jumapili Novemba 12 ameshinda tuzo 2 za Music and Movies Awards (MAM...
stone town records

Stone Town Records kuandaa na warsha kwa ajili ya watayarishaji wa muziki Zanzibar, Novemba...

Lebo ya muziki ya Stone Town Records iliyopo maeneo ya Mji Mkongwe imeandaa warsha kwa watayarishaji wa muziki visiwani Zanzibar ambayo itakuwa ikifundisha mambo...
Kijukuu

“Kunizalia mtoto ni jambo jema ila tabia na matendo hayanipendezi ” – Kijukuu

Msanii wa muziki anaewakilisha lebo ya Waiz Empire, Kijukuu ambae pia ni mzazi mwenzie Angel. Ametoa malalamiko yake kuhusiana tafrani inayowakabili wawili hao juu...
stone town

Stone Town Records kufanya Cypher ya Hip Hop, Novemba 4

Lebo ya muziki kutokea visiwani Zanzibar, Stone Town Records imeandaa kilinge cha Hip Hop ambacho kitakuwa kinasaidia watu mbali mbali kuelewa mambo tofauti yanayohusu...
mabawa

Video Teaser: Mabawa kuachia video ya ‘Machozi’ Oktoba 28

Msanii wa muziki Alatish Mabawa ambae hivi karibuni aliachia wimbo wake mpya wa Machozi uliotayarishwa katika studio za Akhenaton Records, hivi karibuni ametoa ahadi...
wazenji classic

Lebo ya Mandevu Records kuwatambulisha Wazenji Classic karibuni

Lebo ya muziki wa kizazi kipya visiwani Zanzibar ya Mandevu Records, hivi karibuni imesema italitambulisha kundi jipya kutokea katika studio hizo za Mandevu Records...

Picha: Man Chado ashoot video ya ‘Kwa ajili ya wana’ na Juma Nature

Rapa kutokea lebo ya Mandevu Records, Man Chado hivi karibuni alionekana akishoot video ya wimbo wake mpya ‘kwa ajili ya wana’ akiwa amemshirikisha Juma...
chiwile

Issa Chiwile Jr afunga ndoa kimya kimya

Mtangazaji na mwanaharakati wa vipindi vya burudani visiwani Zanzibar, Issa Chiwile Jr. amefunga ndoa na mpenzi wake Shanice kimya kimya. Hivi karibuni picha iliyosambaa katika...
chaby six

“Sikatai kufananishwa na msanii yoyote kikazi ila…” – Chaby Six

Rapa kutokea visiwani Zanzibar Chaby Six ametoa malalamiko yake juu ya watangazaji wa maredio na TV visiwani Zanzibar kuhusiana na kusema maneno yasiyo ya...

Forbes wataja orodha ya wasanii wanaoingiza pesa kwa mwaka 2017

Mtandao mkubwa duniani wa kuangalia watu maarufu duniani forbes imetoa orodha ya wasani wanao ingiza mkwanja mrefu duniani kwa mwaka 2017. Zenji255 imekuekea orodha hiyo...
ZFU

Laki wa Promise ateuliwa kuwa rais wa chama cha wasanii wa muziki Zanzibar (ZFU)

Jumapili ya Septemba 10 viongozi na wanachama wa chama cha wasanii wa muziki wa kipya (ZFU) walifanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wao wapya kwa...
mantuzzo

Mantuzzo azungumzia kuhusu ukimya wake na ujio wake mpya

Kwa muda mrefu msanii Mantuzzo ameonekana kuwa kimya katika sanaa yake ya muziki, na vile vile amezungumzia kuhusiana na ujio wake mpya baada ya...
man chado

Man Chado kuja na ‘Kwa ajili ya wana’ akiwa na Juma Nature

Rapa wa muziki aliyekaa kimya kwa muda mrefu kutokea kundi la Murder Squad, Man Chado maarufu alikuwa akijulikana kama Chadogi. Anatarajia kuachia wimbo wake...
zari

Zari The Bosslady afiwa na mama yake mzazi

Mama mzazi wa Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi na mzazi mwenza wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amefariki dunia asubuhi hii baada...
HK

“Bonge sijazinguana nae ila utaratibu wa kikazi ndio uliomsimamisha kufanya kazi nasi” – HK

Meneja wa Good father Music, Khamis HK amekanusha juu ya kauli zinazosambazwa kati yake na mtayarishaji wa muziki aliyekuwa akifanya kazi chini ya studio...
smile

Smile na Sultan King kulimaliza bifu lao kwenye ‘Toriro’ Jumatatu hii

Heshima ya muziki wa zanzibar unazidi kupewa nguvu baada ya wasanii wawili kusemekana walikuwa hawakai zizi moja kutokana na uhasama waliokuwa nao watu hao...
kassim mganga

Ukaribu wa Kassim Mganga na Baby J wawatia hofu mashabiki

Mkali kutokea Tanga, Kassim Mganga ameingia katika vichwa vya habari katika mitandao baada ya kuwa muonekano mpya kwenye ndevu zake kuwa nyeupe na vile...
beyonce

Majina ya mapacha wa Jay Z na Beyonce yawekwa hadharani

Mtandao wa TMZ umeripoti kupatikana kwa majina ya watoto mapacha wa Beyonce na JAY-Z. kwa mujibu wa TMZ Watoto hawa wamepewa majina Rumi Carter Na...
chaby six

Chaby Six Afiwa na Baba yake mzazi

Baba mzazi wa rapa kutoka visiwani Zanzibar Chaby Six Mashine, Mzee Mshimba, amefariki dunia Ijumaa hii. Akitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake Facebook, Chaby Six...
nassir vanillah

Hali ya Nassir Vanillah yaendelea vizuri Hospitali

Msanii wa muziki kutoka visiwani Zanzibar hivi karibuni ameonekana kuwa katika hali mbaya baada ya kulazwa katika hospitali ya KMKM akisumbuliwa na pumu. Lakini katika...

Follow Us

1,276FansLike
1,116FollowersFollow
97FollowersFollow
18,764SubscribersSubscribe
Advertisement