Best Of Zenji255: Wimbo Bora (5 Bora)

0

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha wimbo bora. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi mmoja tu.

Hawa hapa ni washindi wa raundi ya pili ya 5 Bora. Na endelea kuwapigia kura katika raundi ya pili kwa hapo chini na uweze kumfanya mmoja wapo aweze kuwa BEST OF ZENJI255.

*Kura hizi ni kutokana na watembeleaji wa mtandao wa Zenji255 na sio uchaguzi kutoka kwa Zenji255.

 

Wimbo Bora

One In A Million – TIP ft. Haule
Fly Girl – Wiz D ft. Alpha
Nasema na Moyo – Abramy
Kwa Ajili ya Wana – Manchado
Karanga – Watafutaji

Created with DoRiddles