Best Of Zenji255: Video Bora (5 Bora)

0

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha video bora. Washiriki katika kipengele walikuwa ni 20. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi mmoja tu.

Hawa hapa ni washindi wa raundi ya pili ya 5 Bora. Na endelea kuwapigia kura katika raundi ya pili na uweze kumfanya mmoja wapo aweze kuwa BEST OF ZENJI255.

video

*Kura hizi ni kutokana na watembeleaji wa mtandao wa Zenji255 na sio uchaguzi kutoka kwa Zenji255.

 

Video Bora

Nana – Sharo Music ft. Smile
Nani Nilimkosea – Ison Mistari
Fly Girl – Wiz D ft. Alpha
Sitaki Lawama – Sultan king
Shobo Robo – Marafiki Bongo

Created with PollMaker