Best Of Zenji255: Studio Bora (5 Bora)

0

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha studio bora ya muziki. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi mmoja tu.

Hawa hapa ni washindi wa raundi ya pili ya 5 Bora. Na endelea kuwapigia kura katika raundi ya pili kwa hapo chini na uweze kumfanya mmoja wapo aweze kuwa BEST OF ZENJI255.

*Kura hizi ni kutokana na watembeleaji wa mtandao wa Zenji255 na sio uchaguzi kutoka kwa Zenji255.

 

Studio Bora

Mandevu Records
Stone Town Records
Mi8 Records
Waiz Empire
Island Records

Created with quotes2know