Best Of Zenji255: Mtayarishaji Bora (5 Bora)

0

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha mtayarishaji bora wa muziki. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi mmoja tu.

Hawa hapa ni washindi wa raundi ya pili ya 5 Bora. Na endelea kuwapigia kura katika raundi ya pili kwa hapo chini na uweze kumfanya mmoja wapo aweze kuwa BEST OF ZENJI255.

*Kura hizi ni kutokana na watembeleaji wa mtandao wa Zenji255 na sio uchaguzi kutoka kwa Zenji255.

 

Mtayarishaji Bora

Lummie
Chilly K
DJ Walid
Imami8
Bonge Jr.

Created with SurveyMaker