Best Of Zenji255: Msanii Bora wa Kiume (5 Bora)

0

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha msanii bora wa kiume. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi mmoja tu.

Hawa hapa ni washindi wa raundi ya pili ya 5 Bora. Na endelea kuwapigia kura katika raundi ya pili na uweze kumfanya mmoja wapo aweze kuwa BEST OF ZENJI255.

msanii bora wa kiume

*Kura hizi ni kutokana na watembeleaji wa mtandao wa Zenji255 na sio uchaguzi kutoka kwa Zenji255.

 

Msanii bora wa Kiume

T.I.P
Ison Mistari
Wiz D
Smile
Sultan King

Created with SurveyMaker