Best Of Zenji255: Msanii bora wa kike (3 Bora)

0

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha msanii bora wa kike. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watatu ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi mmoja tu.

Hawa hapa ni washindi wa raundi ya pili ya 3 Bora. Na endelea kuwapigia kura katika raundi ya pili kwa hapo chini na uweze kumfanya mmoja wapo aweze kuwa BEST OF ZENJI255.

*Kura hizi ni kutokana na watembeleaji wa mtandao wa Zenji255 na sio uchaguzi kutoka kwa Zenji255.

 

Msanii bora wa kike

Faay Baby
Honey Ella
Lightness

Created with QuizMaker