Best Of Zenji255: Kundi Bora la Muziki 2017

0

Kwa Zanzibar wasanii, watayarishaji wengi wameachia kazi nyingi zenye mafanikio makubwa kwao. Zenji255 inataka kuona kutoka kwako kwa kukupa nafasi ya kulipigia kura na kuchagua kundi bora la muziki kwa mwaka 2017.

kundi

*Orodha hii ni kutokana na wasanii walioachia kazi zao kuanzia Januari hadi Disemba 10 na mwisho wa kupiga kura ni tarehe 5 mwezi wa Januari.

Lipigie kura kundi bora la muziki hapo chini.

 

Kundi Bora

Watafutaji
Zee Town Sojaz
Watatu Flavor
Marafiki Bongo

over here