Best Of Zenji255: Chipukizi Bora (5 Bora)

0

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha chipukizi bora. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi mmoja tu.

Hawa hapa ni washindi wa raundi ya pili ya 5 Bora. Na endelea kuwapigia kura katika raundi ya pili na uweze kumfanya mmoja wapo aweze kuwa BEST OF ZENJI255.

chipukizi

*Kura hizi ni kutokana na watembeleaji wa mtandao wa Zenji255 na sio uchaguzi kutoka kwa Zenji255.

 

Chipukizi Bora

Boy Wiz
Saidon
Sharo Music
Alpha Da Best
Haule

Created with SurveyMaker