Best of Zenji255: 5 bora za Video bora ya mwaka 2016 (Awamu ya 1)

0

Mchujo wa awamu ya kwanza kupitia Kali za Zenji255 ni huu hapa ambapo wasanii watano walioongoza kwa kura nyingi na kufanikiwa kupita katika kipengele cha video bora.

Endelea kupiga kura na kutoa chaguo unalopendekeza ili kuichagua video bora kwa mwaka 2016. Je lipi ni chaguo lako bonyeza hapa kupiga kura.

Hii ni 5 bora ya mchujo wa awamu ya kwanza:-

  1. Sultan King – Shikilia

2. Jumaa Town ft. Maromboso – Mpambe

3. Wiz D – Drop It

4. I.T – Ushanivuruga

5. Berry Black – Kiganja