Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Mussa Mvita akizungumza na waandishi wa habari za michezo Zanzibar wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya michezo kwa Timu Kongwe Zanzibar Miembeni ikiwa ni hatua ya PBZ kuidhamini Timu hiyo katika kushiriki michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar ikiwa ukingoni kumalizika.