Baby J atoa maana ya yeye kuitwa mrithi wa Bi Kidude (+Audio)

0

Kama ulikuwa bado hujajua kwanini Baby J anajiita mrithi wa Bi Kidude, na katumia vigezo gani kujiita hivyo?

baby j

Gumzo hilo liliibuka miezi kadhaa iliyopita baada ya Baby J kupata nafasi ya kushiriki katika Tamasha la filamu Zanzibar (ZIFF)ambapo siku aliyopanda jukwaani ilikuwa ni usiku wa Bi Kidude na kusababisha maswali mengi na watu kujiuliza baada ya kusema kuwa yeye ni mrithi wa Bi Kidude.

Akiongea na Zenji255 Baby J amesema kuwa watu hawakuelewa yeye amemaanisha vipi mpaka akajiita hivyo kwani hawezi kuyafanya mambo yote ambayo Bi Kidude alikuwa akiyafanya.

Msikilize Baby J akifafanua kuhusiana na yeye kuitwa mrithi wa Bi Kidude