27 C
Zanzibar
Tuesday, June 25, 2019
Home Authors Posts by Waziri wa debe

Waziri wa debe

1419 POSTS 0 COMMENTS
show

Picha: Wakushi, Baby J na Rico Single katika ‘live’ show

Kama ulipitwa na wikiendi iliyopita basi hii hapa nakusogezea karibu angalia jinsi show ya Wakushi, Baby J na Rico iliyofanyika Jambo Beach Bungalows, Paje. ...
ligi kuu

Picha: Ligi kuu ZNZ,Mafunzo na Black Sailors

Ligi kuu ya visiwani Zanzibar bado inaendelea kuwaka moto katika uwanja wa Amani, ambapo timu mbili kati ya Mafunzo na Black Sailors zilikutana. Katika...

Kanye West na Wiz Khalifa wamaliza ugomvi wao

Kila kitu sasa kimesuluhishwa kati ya Kanye West na Wiz Khalifa. Ni baada Kanye kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa: https://twitter.com/kanyewest/status/694620226743238656 Beef hiyo ilimalizika baada ya...
3

Picha:Ligi daraja la kwanza Taifa Jan’gombe na Idumu

Picha: Zanzinews Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe wakipasha misuli kabla ya mchezo wao na Timu ya Idumu ya Unguja Ukuu kuwania nafasi ya...
rose ndauka

Rose Ndauka Azindua Jarida lake ‘Rozzie’

Na Dotto Mwaibale MSANII wa filamu Tanzania, Rose Ndauka  amezindua jarida  jipya liitwayo Rozzie litakalotoka  mara moja kwa kila mwezi. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi,...
Navy kenzo

Video: Navy Kenzo – Kamatia

Video mpya ya Navy Kenzo ‘ Nahreel na Aika’ imetayarishwa na muongozaji wa video kutoka Afrika kusini Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films....
kanye west

Kanye west ‘Sitozungumzia tena kuhusu watoto’

Kanye West ameomba radhi kwa Amber Rose naWiz Khalifa baada ya kumuongelea vibaya mtoto wao Sebastian kwenye twitter yake hivi karibuni. Kanye hakuomba msamaha wa...
Rekodi

Avunja rekodi kwa kukaa masaa 121 akiangalia filam

Johannesburg: Raia mmoja wa Canada anaeishi South Africa amepata umaarufu mkubwa baada ya kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa hapo mwanzo kwa kukaa masaa 120 na...
Diamond

Diamond ashinda tuzo nyingine

Mmiliki wa hit song ya ‘Utanipenda‘ Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za...
Drake

Drake kuachia albamu yake mwezi April

katika kipindi cha Saturday's episode katIka Radio ya OVO Sound Radio, Drake atangaza mwezi wa April kuachia albamu yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu...

Pato na Miazga waanza mazoezi rasmi Chelsea FC

Wachezaji wapya Alexandre Pato and Matt Miazga Walionekana wakifurahia siku yao ya kwanza mazoezini katika mji wa Cobham tangu wajiunge na klabu ya Chelsea. Wachezaji...
video

{Video}: Godzilla – Get High

Msanii wa Hip-Hop Godzilla ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa ‘GET HIGH‘, video imeongozwa na kampuni ya Shine Video Production
video

{Video}: Dayna Nyange – Angejua

Msanii Dayna Nyange ameachia video ya wimbo ‘Angejua’. Video imeandaliwa na kampuni ya Kwetu Studios chini ya director Msafiri Shabani
Khalifa

Wiz khalifa amtishia maisha Kanye West

Wakati Wiz Khalifa akiwa katika ukimya usiojulikana, na huku upande mwingine Kanye West akiwa anajitetea katika mtandao wa Twitter kuyajibu maneno makali yanayotoka kwa...
chidi yobo

Music: Chidi Yobo – My Yori Yori

Chidi Yobo ni chipukizi katika muziki wa Zenji / Bongo Fleva ambaye yupo chini ya usimamizi wa GOOD FATHER MUSIC anautambulisha wimbo aliofanya katika...
nassir vanillah

Music: Nassir Vanillah – We Ndo Hakimu

Wimbo wa Nassir Vanillah kwa jina la We ndio Hakimu. Wimbo umefanywa katika studio za Mi8 na mtayarishaji Imami8.
video

Video: Trey Songz feat. Dave East, Mike x Angel, DJ Drama – Everybody Say

Trey Songz is back with a video for “Everybody Say” off his November mixtape To Whom It May Concern. This time around, Trigga calls...
taire

Music: Hemedy feat. Sultan King – Taire

Taire ni wimbo uliotayarishwa na kijana Imami8 katika studio za Minane, Zanzibar. Hemedy ndie msanii wa wimbo huo na amemshirikisha Sultan King. Sikiliza hapa http://www.audiomack.com/song/zenji255/taire  
huzza b

New Music: Huzza B ft. Haule – Take Care

Rapa Huzza B ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Take Care akiwa amemshirikisha Haule. Wimbo umetengenezwa katika studio za Melanin Media na Producer Bonge Jr.  

Follow Us

2,264FansLike
1,114FollowersFollow
108FollowersFollow
450SubscribersSubscribe
Advertisement