25 C
Zanzibar, TZ
Friday, November 24, 2017
Home Authors Posts by Waziri wa debe

Waziri wa debe

1201 POSTS 0 COMMENTS
fid q

Fahamu: Sababu ya Fid Q kuandika verse fupi katika WALK IT OFF

Baba lao FARID KUBANDA ,FID Q amesema sababu iliyofanya kuchana verses fupi fupi kwenye ngoma yake mpya #walkitoff ni kwasababu alitaka mashabiki wainjoy zaidi...
ali kiba

Adam Juma ameyaandika haya baada ya kuitazama video mpya ya Ali kiba ‘Lupela’

Siku moja baada ya staa wa bongofleva Ali kiba kuiachia video ya ngoma yake ‘Lupela‘, leo Director wa long time Tanzania Adam Juma ameyatoa yake...
Mpambe

New Video: Jumaa Town ft. Maromboso – Mpambe

Mpambe ni wimbo kutoka kwa kijana anaefanya shuhuli zake za muziki katika visiwa vya Zanzibar. Jumaa Town akiwa amemshirikisha kijana kutokea Yamoto Band, Maromboso...
video

Simu TV: Vichwa vya Habari Magazetini leo tar 8

Kupitia mtandao wa Simu TV nakuletea Stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Siasa, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea.
video

Video: Ali Kiba – Lupela

Ni siku mbili zimepita toka Ali kiba alipoifanya party ya kuitambulisha video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi za mwaliko, ila sasa hivi...

Ligi kuu Uingereza kati ya Chelsea na Man Unite

Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo February 7 kwa michezo miwili kupigwa, AFC Bournemouth walikuwa wenyeji wa Arsenal katika uwanja wao wa nyumbani, wakati...
video

Video: Young Killer ft. Juma Nature – Popote Kambi

Young Killer, tuliisikia tu single yake kwenye audio sana lakini good news ni kwamba katuletea hii video mpya featuring Juma Nature ‘popote kambi‘. Video...
video

Simu TV: Vichwa vya Habari Magazetini

Kupitia mtandao wa Simu TV nakuletea Stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Siasa, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea.

Video: Angalia Man City walivyotandikwa 3-1 na Leicester City

Timu inayoongoza katika ligi ya Uingereza, Leicester wamewashangaza wapinzani wao wa karibu katika ligi hiyo Manchester City baada ya kuwacharaza 3-1 katika uwanja wa...
msimamo

Msimamo wa Ligi kuu Zanzibar

Msimamo wa ligi kuu ya Zanzibar umetoka na timu ya JKU inaonyesha kushika nafasi ya kwanza na kufuatiwa na Zimamoto ambapo nafasi ya mwisho...
videovideo

Video: Steve RnB – Listen

Video ya wimbo mpya wa Steve RnB unaoenda kwa jina la Listen imefanywa na Director Joowzey na audio imefanywa na producer Mbezi. Iangalie kwa...
video

Simu TV: Vichwa vya Habari Magazetini

Stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Siasa,  Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea.

Six Records yatoa ofa kwa wasanii chipukizi

Baada ya kukaa kimya na kujipanga upya kwa kipindi kirefu, studio inayopatikana pande za Mwera Six Records chini ya usimamizi wa producer Side2the Lee,...
video

Video: Fid Q Feat. Taz – Walk It Off

Farid Kubanda ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Fid Q kaja na video mpya ya Walk It Off kamshirikisha Taz, mkali wa mashairi kaja...

Meek Mill ahukumiwa miezi 3 kifungo cha ndani ya nyumba

Meek Mill hatoenda jela lakini hatokuwa huru pia. Siku ya Ijumaa (Feb 5) hakimu aliyesimamia kesi ya rapa huyo kutokea Philadelphia aliamuru atumikie kifungo...

Picha: Ligi kuu Zanzibar, Zimamoto na Kijichi

Ni mechi iliyofanyika uwanja wa Amani, Zanzibar. Katika mechi hiyo iliwakutanisha vijana wa Zimamoto na Kijichi ambapo timu ya Zimamoto iliondoka na ushindi wa...

Valencia wafungwa 7-0 na Barcelona

Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United Gary Neville ilipokezwa kichapo cha mwaka na klabu ya Barcelona katika nusufainali ya...
video

Video: Timbaland Feat. Mila J – Don’t get no betta

Timbaland and Mila J are out to prove that it “Don’t Get No Betta” in the video for their collaboration off Timbo’s mixtape King...
temba

Music: Temba Feat. Jokate & Yamoto Band – Fundi

Wimbo mpya wa Temba akiwa amewashirikisha Yamoto Band na mwanadada Jokate (Kidoti), jina la wimbo 'Fundi' uliofanywa chini ya producer Marco Chali katika studio...
ali kiba

Music: Ali Kiba – Lupela

Baada ya wimbo wa “Nagharamia” kutoka kwa Nyota wa muziki wa Bongo fleva maarufu kama Alikiba, hapa tumekuwekea wimbo mpya wa Nyota huyo unaitwa “Lupela”...

Follow Us

1,276FansLike
1,116FollowersFollow
97FollowersFollow
18,764SubscribersSubscribe
Advertisement