Waziri wa debe
New Music: Laki ft. Kijukuu – Hisia
Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Laki wa Promise akiwa amemshirikisha Kijukuu. Wimbo unaendwa kwa jina la "Hisia" umetayarishwa na...
New Video: Fany – Nipe
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka visiwani Zanzibar, Fany ameachia video ya wimbo mpya unaoitwa "Nipe". Video hiyo imetayarishwa na Kwetu Studios.
Angalia video...
New Video: T.I.P King – Last Kush
T.I.P King anakuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa "Last Kush" Kama bado hujaupata wimbo wake bonyeza hapa kuupata. Video imetayarishwa na director One...
New Music: T.I.P King – Last Kush
Wimbo mpya kutoka kwa rapa T.I.P King unaitwa "Last Kush". Na kama bado hujaiona video yake bonyeza hapa. Wimbo umetayarishwa na producer Yosia katika...
New Music: Labocxy ft. Chidy Shortcut – Go Down
Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea katika lebo ya Jupiter Record, Labocxy ameachia wimbo unaitwa "Go Down" akiwa amemshirikisha...
New Video: Smile ft. Nedy Music – Ti Amo
Smile the genius amewaletea video ya wimbo wake unaitwa "Ti Amo" kama bado hujausikia bonyeza hapa. Katika wimbo huo amemshirikisha Nedy Music. Video imetayarishwa...
New Video: Fatma ft. Country Boy – Love Me
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, mwanadada Fatma ameachia video ya wimbo mpya unaitwa "Love Me" akiwa amemshirikisha Country Boy. Video imetayarishwa na director...
New Video: Rico Single ft. Chege – Standard
Uliupata wimbo mpya wa "Standard" kutoka kwa Rico Single? Kama bado bonyeza hapa kuupata.
Rico Single amekuletea video mpya ya wimbo huo akiwa amemshirikisha Chege....
New Video: Alatish Mabawa – Bora mimi
Kama tayari umeshausikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki Alatish Mabawa, na kama bado bonyeza hapa kwa kuusikiliza. Baada ya kuupata wimbo huo na...
New Video: Kinde Makengele – Sikujua
Video ya wimbo mpya kutoka kwa mwanamuziki Kinde Makengele unaitwa "Sikujua". Video imetayarishwa mna director Modi Peru.
Angalia video hiyo na utoe maoni yako.
https://youtu.be/LCkWxnKqkk4
New Music: Rico Single ft. Chege – Standard
Wimbo mpya kutoka kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya visiwani Zanzibar, Rico Single. Wimbo unaitwa "Standard" akiwa amemshirikisha Chege. Wimbo umetayarishwa katika...
New Video: Lucky Cray – Kamata
Kama hujausikia na kuupata wimbo wake, bonyeza hapa kuupata. Baada ya kuusikiliza wimbo huo, Lucky Cray anakukaribisha kutazama video ya wimbo huo mpya unaitwa...
New Video: Abeneko – Matatizo
Video ya wimbo mpya kutoka kwa mwanamuziki Abeneko, wimbo unaitwa "Matatizo". Video imetayarishwa na director Eric Mlindima.
Angalia video hiyo na utoe maoni yako.
https://youtu.be/ejz8NGZFzO0
New Video: Mwapopo Laki – Rudi
Video ya wimbo mpya kutoka msanii wa muziki Mwapopo Laki unaitwa "Rudi". Video imetayarishwa na director Modi Peru.
Angalia video na utoe maoni yako.
https://youtu.be/QExHA4ev0ik
New Music: Wigo ft. Pozza Boy – Mapenzi sio Bahati
Kama tayari umeshaiona video mpya ya msanii wa muziki wa kipya, Wigo akiwa amemshirikisha Pozza Boy. Kama bado bonyeza hapa kuiangalia video hiyo.
Pakua wimbo...
New Video: Dulla – Solemba
Video ya wimbo mpya kutoka msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dulla. wimbo unaitwa Solemba, video imetayarishwa na director Daudi Mzuri.
Angalia video hiyo na...
New Video: Wigo ft. Pozza Boy – Mapenzi sio Bahati
Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Wigo Fleva. Wimbo unaitwa "Mapenzi sio Bahati" akiwa amemshirikisha Pozza Boy. Video...
New Music: Lucky Cray – Kamata
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Lucky Cray ameachia wimbo wake mpya unaoitwa "Kamata". Wimbo umetayarishwa na producer Fleva Noma.
Sikiliza wimbo huo na utoe...
New Video: Sultan King ft. Mr. Blue – Ntakubimba
Video ya wimbo mpya kutoka Sultan King unaitwa "Ntakubimba" akiwa amemshirikisha Mr. Blue. Video imetayarishwa na Kwetu Studio.
Angalia video hiyo na utoe maoni yako.
https://youtu.be/mBD5_xUWugw
New Video: Boy Wiz – Move It
Tayari umeshausikia wimbo mpya wa Boy Wiz unaitwa "Move It"? Kama bado bonyeza hapa kuusikiliza. Boy Wiz amewaletea video ya wimbo wake mpya wa...