27.4 C
Zanzibar, TZ
Thursday, February 22, 2018
Home Authors Posts by Waziri wa debe

Waziri wa debe

1259 POSTS 0 COMMENTS
pamela

New Music: Marafiki Bongo – Pamela

Kundi la Marafiki Bongo linafungua mwaka na wimbo mpya unaitwa 'Pamela'. Wimbo umetayarishwa kutokea studio za Waiz Empire na producer Aloneym. Sikiliza hapo chini na...
studio

Best Of Zenji255: Studio Bora (5 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha studio bora ya muziki. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na...
wimbo

Best Of Zenji255: Wimbo Bora (5 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha wimbo bora. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi...
mtayarishaji

Best Of Zenji255: Mtayarishaji Bora (5 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha mtayarishaji bora wa muziki. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na...
kike

Best Of Zenji255: Msanii bora wa kike (3 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha msanii bora wa kike. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watatu ambao wataingia fainali na...
kundi

Best Of Zenji255: Kundi Bora (3 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha msanii bora wa kiume. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na...

Best Of Zenji255: Msanii Bora wa Kiume (5 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha msanii bora wa kiume. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na...
chipukizi

Best Of Zenji255: Chipukizi Bora (5 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha chipukizi bora. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano ambao wataingia fainali na kumtafuta mshindi...
video bora

Best Of Zenji255: Video Bora (5 Bora)

Haya hapa ni matokea ya raundi ya kwanza katika kipengele cha video bora. Washiriki katika kipengele walikuwa ni 20. Ambapo mchujo unatakiwa washiriki watano...

New Video: Pozi Adim ft. Ommy Tone – Nina Imani Nae

Video ya wimbo mpya unaitwa 'Nina Imani Nae' kutoka kwa msanii wa muziki visiwani Zanzibar, Pozi Adim akiwa amemshirikisha Ommy Tone. Video imeongozwa na...
fatma

New Music: Fatma – Dume la Nyani

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa mwanadada Fatma, unaitwa 'Dume La Nyani'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mo Fire Records na producer Mo...

New Video: Mass – Hatare

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutokea studio za Carribean Records, Mass ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Hatare'. Video imetayarishwa na Carribean Production. Angalia...

New Video: Pozza Boy ft. Dayna Nyange – Sweet Love

Hii hapa ni video ya wimbo mpya kutoka kwa Pozza Boy unaitwa 'Sweet love' akiwa amemshirikisha Dayna Nyange. Video imetayarishwa na Director Ivan. Angalia hapa...

New Video: Mzoularr – Dab Out

Baada ya kuachia wimbo, hii hapa ni video mpya ya wimbo huo kutoka kwa rapa Mzoularr. Wimbo unaitwa 'Dab Out'. Video imetayarishwa na Director...
mzoularr

New Music: Mzoularr – Dab Out

Rapa kutoka lebo ya Stone Town Records, Mzoularr ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Dab Out'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Stone Town Records chini...
pozza boy

New Music: Pozza Boy ft. Dayna Nyange – Sweet Love

Wimbo mpya kutoka kwa rapa anaeunda kundi la Zee Town Sojaz, Pozza Boy unaitwa 'Sweet Love' akiwa amemshirikisha Dayna Nyange. Wimbo umetayarishwa katika studio...

New Music: Hussy – Narudisha

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Hussy, ameachia wimbo wake mpya 'Narudisha'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island Records na...

New Video: Hussy – Narudisha

Msanii wa muziki Hussy ameachia video yake mpya 'Narudisha'. Angalia hapo chini na utoe maoni yako. https://youtu.be/Si-v5xKpcfE

New Video: Nassir Vanillah – Nitakusubiri

Msanii wa muziki wa kipya, Nassir Vanillah ameachia video ya wimbo mpya 'Nitasubiri'. Video imetayarishwa na director Anko Jo. Angalia hapa na utoe maoni yako https://youtu.be/s9SD0mTVfFs        

Picha: Hafla ya ugawaji wa mirabaha kwa wabunifu na wasanii Zanzibar

Jumuiya nya hakimiliki Zanzibar COSOZA jana Disemba 16, iliwatunuku mirabaha kwa baadhi ya wabunifu na wasanii wa tasnia mbali mbali hapa visiwani Zanzibar kwa...

Follow Us

1,276FansLike
1,140FollowersFollow
97FollowersFollow
28,911SubscribersSubscribe
Advertisement