25 C
Zanzibar, TZ
Saturday, May 26, 2018
Home Authors Posts by Waziri wa debe

Waziri wa debe

1294 POSTS 0 COMMENTS

New Video: Amini – Sijui

Hii hapa ni video ya wimbo mpya kutoka kwa Amini inaitwa 'Sijui'. Na kama bado hujausikia wimbo wake bonyeza hapa kuusikia. Video imetayarishwa na...

New Video: Faay Baby – Nawachana

Kama bado haukuusikia wimbo mpya wa mwanadada Faay Baby bonyeza hapa. Na hii hapa ni video mpya ya wimbo huo unaitwa 'Nawachana'. Video imetayarishwa...
mzoularr

New Music: Mzoularr – Hot N*gga

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mzoularr ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Hot Nigga'. Wimbo umetayarishwa na DJ Walid kutoka Stone Town Records. Sikiliza wimbo...
wiz d

New Music: Wiz D – Million Dollar Love

Wiz D ameachia video ya wimbo wake mpya, Umeiona? Bonyeza hapa kama bado. Na kama tayari ila huna wimbo basi ondoa shaka. Wimbo mpya...

New Video: Wiz D – Million Dollar Love

Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Wiz D unaitwa 'Million Dollar Love'. Video imetayarishwa na 5D Production. Angalia hapo...
faay baby

New Music: Faay Baby – Nawachana

Mwanadada wa muziki wa kizazi kipya, Faay Baby ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Nawachana'. Wimbo umetayarishwa na producer Chilly K, Fleva Noma na John...

New Music: Mnally ft. Dogo Ziro – Kiki

Kama bado hujaiona video yake, bonyeza hapa. Huu hapa ni wimbo wa msanii wa muziki Mnally akiwa amemshirikisha Dogo Ziro wimbo unaitwa 'Kiki'. Wimbo...

New Video: Mnally ft. Dogo Ziro – Kiki

Video mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa Singeli, anaitwa Mnally akiwa amemshirikisha Dogo Ziro wimbo unaitwa 'Kiki'. Angalia video ya wimbo na utoe maoni...
the brain

New Music: The Brain – Zenji Fleva

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki The Brain unaitwa 'Zenji Fleva'. Wimbo umetayarishwa na producer Kaisal kutokea studio za Kaisal Music. Sikiliza hapo chini...
kijukuu

New Music: Kijukuu ft. Ngumbe Star – Umeniweza

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Kijukuu akiwa amemshirikisha Ngumbe Star unaitwa 'Umeniweza'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer Bonge...

New Video: Ison Mistari ft. Reallionare – No place like home

Umeshausikiliza wimbo mpya wa Ison Mistari? Bado Bonyeza hapa. Na kama tayari hii hapa ni video mpya ya wimbo huo. Video imetayarishwa na director...

New Music: Fany – Nimerogwa

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Fany unaitwa 'Nimerogwa'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Jupiter Records na producer Bonge Jr. Sikiliza hapo chini na...
hammer q

New Music: Hammer Q – Kizungumkuti

Msanii wa muziki Hammer Q ameachia wimbo mpya unaitwa 'Kizungumkuti'. Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako  
ison mistari

New Music: Ison Mistari ft. Reallionare – No place like home

Kutoka lebo ya Stone Town Records wimbo mpya kutoka kwa Ison Mistari akiwa amemshirikisha rapa kutoka Marekani, Reallionare Jream. Wimbo unaitwa 'No place like...
amini

New Music: Amini – Sijui

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki Amini unaitwa 'Sijui'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Epic Records na producer Chalz Clinton. Sikiliza hapo chini na...
mass

New Music: Mass – Ya Habibty

Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa msaani na producer muziki, Mass kutokea Studio ya Carrebean Records. Wimbo unaitwa 'Ya Habibty' umetayarishwa na producer Mass. Sikiliza  hapo...

New Video: Lucky Cray – Mawazo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka visiwani Zanzibar, Lucky Cray ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Mawazo'. Video imetayarishwa na Director Sam. Angalia...

New Video: Ally Luna – Kadoti

Msanii wa muziki Ally Luna ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Kadoti'. Video imetayarishwa na director Ivan. Angalia hapa na utoe maoni yako https://youtu.be/sFMlYfn0dyk  

New Video: Alpha Da Best – Kisa Nini

Alpha Da Best ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Kisa Nini'. Video imetayarishwa na Director Anko Jo. Angalia hapo chini na utoe maoni yako. https://youtu.be/r22KlYLSC9g  
barry junior

New Music: Barry Junior – Doro

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barry Junior, ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Doro'. Wimbo umetayarishwa katika studio za Makonela na producer Amos. Sikiliza wimbo...
Advertisement