24 C
Zanzibar
Tuesday, August 20, 2019
Home Authors Posts by Mwenenu Binnassib

Mwenenu Binnassib

KESI YA KUVULIWA UBUNGE LISSU ITAANZA KUSIKILIZWA KESHO

Kesi ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, inatarajiwa kuanza kusikilizwa kesho. Hati ya kuwaita pande mbili...

New Music: Abramy The Voice x Smile TheGenius – Kunywa

Kwa muda mrefu wasanii waliokuwa wakifanya kazi kwa pamoja chini ya mwamvuli wa wavanilla kabla ya kuvunjika Abramy na Smile wasaniii hawa hawakufanya kazi...

Meli ya Mt. Mkombozi II yawasili Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ahadi aliyoitowa kwa wananachi wa Zanzibar kununua meli mpya...

Barrack Obama akosoa viongozi wenye kutoa kauli za kibaguzi na chuki

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amewataka Wamarekani kukataa lugha za chuki na kibaguzi kutoka kwa viongozi wao. Obama amekuwa akiongea kwa nadra tangu...

Balozi Seif Ali Iddi amesema elimu itolewe kwa viongozi wachanga

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Viongozi wakuu wanajukumu la kuwaelimisha viongozi wachanga juu dhana halisi ya uwezo...

Nchi za Jumuiya ya SADC, zimeobwa kupeana fursa wenyewe kwa wenyewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amezitaka nchi za Jumuiya ya SADC, kupeana fursa wenyewe kwa wenyewe hasa linapofikia...

Mwandishi habari Tanzania Erick Kabendera amepandishwa kizimbani

Mwandishi habari Tanzania Erick Kabendera amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka mapya matatu ya ubadhirifu wa kiuchumi . Katika mashtaka hayo Kabendera anatuhumiwa na kujihusisha na genge...

WAZIRI WA ARDHI TANZANIA ATOA ONYO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, leo Agosti 3, amemrejeshea kiwanja Brigedia Mstaafu Fransis Mbenna, kilichopo Mbezi Beach DSM alichodhulumiwa...

Maoni yetu: Hii ni level nyingine kwa Harmonize na KondeGang

Kwanza nianze kwa pongezi kwa Diamond kwa kukiona kipaji cha kijana huyu aliye wahi kukataliwa na mashindano makubwa ya kutafuta vipaji Tanzania Bongo Star...

Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu imeshauriwa kufanya kazi kwa kufuata sheria

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar na Riziki Pembe Juma ameitaka bodi mpya ya Ushauri ya Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu,...

vifo vya wanawake na watoto vimepungua ukilinganisha na udhalilishaji

Imeelezwa idadi ya vifo vya mama na mtoto vimeweza kupunguwa ukilinganisha na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto unaendelea kuwepo...

Follow Us

2,282FansLike
1,113FollowersFollow
106FollowersFollow
481SubscribersSubscribe
Advertisement