Audio: ‘Presenters wa Radio Zanzibar bado hawajajua wasanii wa ukweli ni kina nani’ – Fredrigo

0

Kwa miaka kimekuwa ni kilio kikubwa kwa wasanii Zanzibar ni kuhusiana na nyimbo zao kuchezwa katika maredio.Pia kuna kigingi ambacho kinaenda sawa na hiko cha mwanzo na huwa kinawasumbua sana, nao ni ‘Mapromota’.

fredrigoFredrigo ni msanii anayefanya shughuli zake za muziki visiwani Zanzibar, alizungumza na Zenji255 na kusema kuhusiana na hilo kuwa wasanii wengi ambao wanafanya vizuri sio wale ambao wasanii wa ukweli ambapo wengi hupata nafasi nzuri ya kuchezwa nyimbo zao kutokana na uongozi wa msanii umeweka nguvu ya ziada kwa watangazaji wa redio. Na akaongezea kuwa wadau wa muziki pia wanarudisha nyuma pale unapoelewana nae bei za kufanya show halafu anakukandamiza kwa pesa anayoitaka yeye.

Msikilize Fredrigo akiongea na Mkali Nesta