Audio: Povu kali lamtiririka I.T baada ya kujibiwa ‘Umejivuruga’

0

Baada ya mwanadada Faay Baby kuujibu wimbo wa ‘Umejivuruga’ wa msanii wa Iddi Thabit maarufu I.T amefunguka na kuyasema ya kwake.

umejivuruga

Akizungumza kwa njia ya simu na Zenji255 I.T alisema kuwa yeye anamtupia lawama zote mmiliki wa studio ya M.K Records, producer M.K kwa sababu yeye ndie aliyeruhusu ‘beat’ yake itumiwe na mwana dada huyo bila hata yeye kupewa taarifa.

Msikilize I.T hapa akiongea kuhusiana na hilo.