Audio: Ison azungumzia kuhusu Muziki wake na tetesi za kujiunga WCB

0

Siku za hivi karibuni rapper kutoka zanzibar Ison Mistari amekua akipost vitu vinavyo husiana na label ya WCB inayosimamiwa na Diamond jambo ambalo limezua maswali mengi.

isonKupitia mtandao wa zenji255 Ison alisema “Kuna wasanii ambao niliopanga nao kufanya kazi akiwemo Diamond, Rich Mavokokwahiyo kama kuna lolote nitajulisha watu wangu wasijali.”

Katika hatua nyingine alizungumzia kuhusiana na kazi zake mpya Ison amesema ameplan kufanya kazi na Diamond, Stamina, Fid Q na Ben Pol kwa upande wa wasanii wa nyumbani ni Sultan King na Baby J.

Sikiliza hapa Ison Akizungumza na Zenji255